Uongozi unaoacha alama.

Hilo dude linajifanya kuwa nilipole sana sasa hivi ila muda siyo mrefu litaanza kutafuna watu including jiwe mwenyewe!![emoji1][emoji1][emoji1]
Tuliombee lifanikiwe hata kwa ndumba[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Umenifikirisha... 'Ngeu' ni alama pia... Kovu ni alama pia [emoji24][emoji24][emoji24][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Umenifirisha... 'Ngeu' ni alama pia... Kovu ni alama pia [emoji24][emoji24][emoji24][emoji144][emoji144][emoji144]
Ndiyo mkuu. Maana ngeu na kovu zote ni alama. Pia ngeu ni kovu japo kovu si lazima liwe ngeu. Ngeu yenyewe zaidi zaidi ni ya kichwani.
 
Ndiyo mkuu. Maana ngeu na kovu zote ni alama. Pia ngeu ni kovu japo kovu si lazima liwe ngeu. Ngeu yenyewe zaidi zaidi ni ya kichwani.
Kwenye mapenzi mtu anaweza kuwa na alama mbili kama sio love bite basi ni kidonda cha meno... Zote ni alama[emoji144][emoji144][emoji144] moja nzuri moja mbaya.....
 
Aisee😂😂😂hapo kwenye Kununua morali badala ambulance pamenikuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…