stunna
JF-Expert Member
- Nov 7, 2013
- 259
- 148
Over my dead body
In mbowe voice
Over my dead body
Mimi mwenyewe.In mbowe voice
ILANI YA UKAWA.ndani ya serikali walikuwa wanampango wa kufumua huo mfumo wa JK NA CCM POLICE ELIMU pamoja na MIUNDO MBINU NANI YA SERIKALI.sema magufuri kaingia kichwa kichwa bila mpango yatamshinda kwasababu ndani ya ccm hakuna wasomi na wanategemea J makamba na mwingulu .
swissme
elim elim elim elim alijua ukawa elimu ndogo anaona elimu kubwa ipo ccm
Upande wa UKAWA wao ufisadi hawakuuweka mbele sana hata mgombea wao alipohojiwa na BBC na kuulizwa kuhusu atakavyoshughulikia ufisadi mkubwa hakua na jibu , nakumbuka sera kubwa ya UKAWA ilikua ELIMU ELIMU ELIMU pia mheshimiwa Lowassa akaongezea kidogo kua mwenye mbuzi mmoja atakua nao wawili , anaekula mlo mmoja atakula miwili nakadhalika nakadhalika leo Magufuli anaanza kutekeleza Sera zake za kuwashughulikia mafisadi wana UKAWA wanaanza kutupotosha kua anafuata ilani yao.
Wito kwa wana UKAWA tukubali tu kua kwa bahati nasibu au mpango wa Mungu tumepata raisi wa ndoto zetu AMEN
Wakupe ILANI YA UKAWA? Gamba wewe lazima mkubali panapo semwa ukweli na hiko wapi ILANI YA ccm?kajipange tena.
swissme
MISURI:HITAUMWA.go back to school.
swissme[/QUO
Acha Bangi
Hakuna Ilani inayoshinda ilani ya ccm.
Leo mnasema mama Samia anafanyaje vile........?tulia magufuli awape vidonge vyenu nyie ccm. na mwaka huh lazma mtaisoma namba
Na leo mnasema mama Samia nae Hana chama? Haya maneno kila awamu yanajirudiaMagufuri alikuwa ni mgombea private hana chama
Leo unasema februari mauzi ndio mzuri? Alafu unasema mama Samia aachane na wale wa magu? HahahahahaahaKwa wana ccm wapenda ufalme hilo hawalitaki kulisikia kama kina februari mauzi
Leo wanasema mama Samia anatekeleza ilani yaoAlisema atayakamata majizi na mafisadi , japo alipenda kutumia kauli ya "SERIKALI YA MAGUFULI" lakini ukisema magufuli huwezi kumtenganisha na CCM , trust me magufuli anairudisha ccm katika misingi yake ya awali kua kimbilio la wanyonge , unaonaje tukiungana kumuombea katika hili wewe mwananchi
Hapo ndiyo uwezo wako wa kufikiri na kuwaza umegotaLeo unasema februari mauzi ndio mzuri? Alafu unasema mama Samia aachane na wale wa magu? Hahahahahaaha
Tuliza mshono ili tujenge nchi isiyo wategemea nyinyi wauza majungu na fitinaNa leo mnasema mama Samia nae Hana chama? Haya maneno kila awamu yanajirudia
Vipi kamanda Samia anatekeleza ilani ipi?Tuliza mshono ili tujenge nchi isiyo wategemea nyinyi wauza majungu na fitina
Kawaulize wajinga wenzakoVipi kamanda Samia anatekeleza ilani ipi?
Wapi Tena hao?Kawaulize wajinga wenzako
Kwenye hifadhi yenuWapi Tena hao?