unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,046
Akili yako sawa na mavi ya punda
Upawa mmedata mmekosa hoja sasa mnagombea ilani ha ha ha ha ha ha ha ha
Akili yako sawa na mavi ya punda
Ha ha ha. Nani angefanya hivyo, huyu huyu Lowassa? Endelea kuzungusha mikono na kuropoka mabadilikoooo... hadi misuli itauma; na utaacha, nina uhakika.
Magufuri alikuwa ni mgombea private hana chama
Wakupe ILANI YA UKAWA? Gamba wewe lazima mkubali panapo semwa ukweli na hiko wapi ILANI YA ccm?kajipange tena.
swissme
Vyama vitakavyojiendesha ki ujanja ujanja na kutegemea matukio kwa sasa vitakufa-Kitila mkumbokwani ukawa wapo?siwasikiii walijitahidi kugombea maiti ili wapate media coverage pia haikuwasaidia..habari ya mjini ni Magufuli tu..
Ni muda wa kujenga nchi sio wa kulumbana kichama. Kilicho bora kwa nchi kinafanyiwa kazi bila bila kujali kimetoka chama gani. Mwisho wa siku tanzania ndio mshindi. Ila kama bado unasisitiza, Watanzania wengi walichagua mabadiliko (ukawa) , na bahati nzuri JPM naye anataka mabadiliko. Wanaomchukia JPM ni wana ccm wasiotaka mabadiliko pamoja na washirika wao wa ufisadi. Tuungane rais atekeleze matakwa ya wengi.
Wakupe ILANI YA UKAWA? Gamba wewe lazima mkubali panapo semwa ukweli na hiko wapi ILANI YA ccm?kajipange tena.
swissme
Tuonyeshe ilani ya CCM anayotekeleza
ILANI YA UKAWA.ndani ya serikali walikuwa wanampango wa kufumua huo mfumo wa JK NA CCM POLICE ELIMU pamoja na MIUNDO MBINU NANI YA SERIKALI.sema magufuri kaingia kichwa kichwa bila mpango yatamshinda kwasababu ndani ya ccm hakuna wasomi na wanategemea J makamba na mwingulu .
swissme
Acha unafiki wewe, kupambana na ufisadi haikuwa agenda ya UKAWA na wala haikusikika mahala kwenye kampeni zao wakiliongelea hili ktk mapana yake... Ndo maana Lowassa alipohojiwa na BBC aliuma Maneno nakuonesha hana mpango wowote wakukabiliana na ufisadi isipokuwa alisema ataaza na urasimu mdogomdogo wa watumishi wa umma. .
kwani ukawa wapo?siwasikiii walijitahidi kugombea maiti ili wapate media coverage pia haikuwasaidia..habari ya mjini ni Magufuli tu..
Tupo wengi sana. Tatizo mnachukulia utendaji wa magufuri kwa tafsiri ya kuiangusha UKAWA. Mimi 2020 kura yangu ni ukawa simpi Magufuri
Hujawahi kusikia watu wanasema misuli inaniuma? Wewe kibwengo ni shida kweli kweli. Sasa, hebu fanya hivi: zungusha, zungusha zungusha mikono halafu ropoka mabadilikoooo....Lowassa, Lowassa..... Ha ha ha, aisee.
Ni muda wa kujenga nchi sio wa kulumbana kichama. Kilicho bora kwa nchi kinafanyiwa kazi bila bila kujali kimetoka chama gani. Mwisho wa siku tanzania ndio mshindi. Ila kama bado unasisitiza, Watanzania wengi walichagua mabadiliko (ukawa) , na bahati nzuri JPM naye anataka mabadiliko. Wanaomchukia JPM ni wana ccm wasiotaka mabadiliko pamoja na washirika wao wa ufisadi. Tuungane rais atekeleze matakwa ya wengi.
Upuuzi huu.Tulia muisome namba nyie ccm. Paka chongo we
Over my dead bodyAlisema atayakamata majizi na mafisadi , japo alipenda kutumia kauli ya "SERIKALI YA MAGUFULI" lakini ukisema magufuli huwezi kumtenganisha na CCM , trust me magufuli anairudisha ccm katika misingi yake ya awali kua kimbilio la wanyonge , unaonaje tukiungana kumuombea katika hili wewe mwananchi