shokoshugi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 293
- 443
Tukienda moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi,
Baada ya Magufuli kufanya anachofanya kumekua na dhana imeibuliwa na wanaukawa wengi tena wachambuzi maarufu kabisa humu jamvini wakisema Mr rais anaiga ilani ya UKAWA kitu ambacho ni upotishaji mkubwa sana , katika kampeni za kuomba ridhaa ya wananchi kwenye nafasi ya Raisi muheshimiwa Magufuli alijikita katika kupambana na ufisadi na akaahidi mpaka mahakama ya mafisadi, hivyo ufisadi ikawa agenda yake kuu.
Upande wa UKAWA wao ufisadi hawakuuweka mbele sana hata mgombea wao alipohojiwa na BBC na kuulizwa kuhusu atakavyoshughulikia ufisadi mkubwa hakua na jibu , nakumbuka sera kubwa ya UKAWA ilikua ELIMU ELIMU ELIMU pia mheshimiwa Lowassa akaongezea kidogo kua mwenye mbuzi mmoja atakua nao wawili , anaekula mlo mmoja atakula miwili nakadhalika nakadhalika leo Magufuli anaanza kutekeleza Sera zake za kuwashughulikia mafisadi wana UKAWA wanaanza kutupotosha kua anafuata ilani yao.
Wito kwa wana UKAWA tukubali tu kua kwa bahati nasibu au mpango wa Mungu tumepata raisi wa ndoto zetu AMEN