Sielewi inakuaje mtu mzima tena muheshimiwa kuongea uongo wa kiasi kile katika bunge sijui hakumsikiliza Lipumba kupitia media alipokuwa anawarudisha wafuasi wake wasiende katika maandamano au ni ulevi wa madaraka na kujisahau hakika hata 2090 ikifika bado mtakuja kuwajibika tu.