MALIGANYA MALIMBE
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 280
- 206
Utoto kabisa.
=Kwa hiyo hakupigwa risasi.
=Pili hiyo nguo nyeupe unaweza thibitisha ni shati?
=Na kama ni shati alikuwa amelivaa?
=Kwanini isiwe nguo waliyotumia kuzuia kuvuja kwa damu?
Unawaza kwa kutumia nini hasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,Inaonekana wewe unajaribu kumuokoa BASHITE!....Nguo nyeupe ni flanaKuna mambo yanakera tena yanasikitisha. Ni pale mtu mzima anapotunga uongo kuhalalisha haja yake.
Mara baada ya tukio linalosemekana la Lissu kupigwa risasi, Freeman Mbowe anaonekana amepiga picha na Dereva wa Lisu akiwa ameshikilia shati jeupe likiwa limelowa damu na suruaki ya khaki, nguo zinazodaiwa ni za Tundu Lissu alizovaa wakati wa shambulizi.
View attachment 586241
Baadaye Nape Nnauye anapost kwenye Ukurasa wake wa Insta akiambatanisha na picha aliyopiga akiwa na Tundu Lissu nje ya Bunge muda mfupi kabla ya Lisu kushambuliwa kwa risasi.
View attachment 586242
Kama hiyo haitoshi, Mange Kimambi anapost picha ya Lissu akionekana kwenye chumba cha upasuaji Hospitali ya General Dodoma akisubiri kusafirishwa kwenda Nairobi. Kwenye picha hiyo, Lissu anaonekana amelalia kichwani shati la Blue kama lile alilopost Nape Nnauye.
View attachment 586243
Kadri akili za watu zinavyotulia na kuchanganua mambo, ni dhahiri kwamba tukio hili linaweza kuwa ni kupangwa na wapangaji wamekosea steps hadi wamejiumbua. Time will tell