Uongo sio mzuri

jenereta

Senior Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
146
Reaction score
40
kuna jamaa alikuwa anapiga stori na jamaa zake, cheki maelezo yake;
JAMAA: Basi siku moja tulikuwa tumeenda kuwinda wanyama msitu mmoja kwa Madiba huko, basi akakatiza swala mbele yangu, swala wa kisouth sio kama wa huku, si unanijua kwa mbio na utundu kibao, basi nikaanza kumfukuzia kishenzi, basi kudadeki nikamkimbiza, kinoma afu nikamrukia kama Kaseja then nikampiga gwala
(mara simu yake ikaita, akaongea kama dakika 3 hivi, akamaliza)
JAMAA: (akawauliza swali washikaji kijiweni) nimeishia wapi washikaji?
MSHIKAJI: umeishia pale ulipompiga gwala.
JAMAA: basi nikamtia nikamtia yule mzungu mpaka (kabla hajamaliza washkaji wakatahamaki)
WASHKAJI: heee swala
JAMAA: haa kumbe swala, basi nikamkamata.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…