Kati ya wewe au Manara nani muongo?ni nchi saba tu ndizo zitakazopeleka timu nne kwenye mashindano ya caf 2020/2021 Mungu akijalia na hata simba ikiingia robo fainali itakuwa imeiongezea nchi alama 2x5=10 ambazo bado hazitoshi kuipeleka nchi kwenye timu saba zitakazopeleka timu nne kwenye mashindano ya CAF 2020/2021
ikumbukwe Tanzania ina alama 8 katika 5 year Caf Ranking zilizotokana na alama 3 za Yanga kuingia makundi mara mbili na alama 5 za Simba kuingiia makuundi klabu bingwa
soma zaidi kwenye linki hii CAF 5-Year Ranking - Wikipedia
Manara anatuongopea ili tuishangilie Simba
Unachomsingizia manara hajakisema, Jana kafanya interview efm tulimsikiliza vzr so wewe sema tu shida yako ninini nchi saba tu ndizo zitakazopeleka timu nne kwenye mashindano ya caf 2020/2021 Mungu akijalia na hata simba ikiingia robo fainali itakuwa imeiongezea nchi alama 2x5=10 ambazo bado hazitoshi kuipeleka nchi kwenye timu saba zitakazopeleka timu nne kwenye mashindano ya CAF 2020/2021
ikumbukwe Tanzania ina alama 8 katika 5 year Caf Ranking zilizotokana na alama 3 za Yanga kuingia makundi mara mbili na alama 5 za Simba kuingiia makuundi klabu bingwa
soma zaidi kwenye linki hii CAF 5-Year Ranking - Wikipedia
Manara anatuongopea ili tuishangilie Simba
acha roho mbaya kijana ndio maana kitoto chako cha kwenye avatar kimekunja sura kama kimeona kinyesiWaingie robo fainali wakagundue nini kwanza? Hebu angalieni na timu zenye hadhi ya kwenda robo fainali
kila la heri AS VITA CLUBaCLUBaCLUBaCLUB
Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
Sasa hiyo yanga itachukua mwaka gani huo ubingwa wa TPL? msimu huu au?!Yanga huwa inshiriki club bingwa kwa kuchukua ubingwa Wa TPL sio kupitia mgongo Wa mikia fc
Ameen,ntafurahi
Huyo nae vpUnachomsingizia manara hajakisema, Jana kafanya interview efm tulimsikiliza vzr so wewe sema tu shida yako nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba Leo itaingia boro fainali na si robo fanali trust me.Kati ya wewe au Manara nani muongo?
Lete ushahidi wa Manara kusema simba ikiingia robo fainali itaingiza timu NNE.
Ila Mimi ni kwamba simba ikifika nusu fainali ndo itafikisha point 12 hapo inaweza kuingiza timu tatu au NNE.
Na ili simba ifike nusu lazima ifike robo fainali.
Labda kama ukuelewa vzr.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana uwezo wa kuwaongopea Yanga. Fix zake ni kwa mikia wenye Techno ya elfu 70ni nchi saba tu ndizo zitakazopeleka timu nne kwenye mashindano ya caf 2020/2021 Mungu akijalia na hata simba ikiingia robo fainali itakuwa imeiongezea nchi alama 2x5=10 ambazo bado hazitoshi kuipeleka nchi kwenye timu saba zitakazopeleka timu nne kwenye mashindano ya CAF 2020/2021