Uongo jamani

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,106
kama unapenda kusema uongo uwe unakumbuka ulichodanganya kwan kuna siku uongo wote utakutokea puani
 
Kwanza nikikuambia uongo ujue nakudharau hata ukigundua ni uongo sijali.
 
ilo nalo neno sasa kwa nini useme uongo?
 
kama unapenda kusema uongo uwe unakumbuka ulichodanganya kwan kuna siku uongo wote utakutokea puani
Asa km umetaka kudanganywa je,mie nitafanyaje,nakudanganya weeeeeeeeeeeeeee,alafu wala sijisumbui kumbuka hata tukikutana akija vibaya nakudanganya kwa mata nyingine,tena inakuwa tofauti na uwongo wa mwanzo,kwa taarifa yako kila anayedanganywa ameomba kudanganywa bila kujua au kwa kujua.
 

tatizo ni kudanganya m2 unayekaa nae au kuish nae alaf unasahau ulimdanganya kuhusu kitu flan later inakuja kuwa shida
 
wewe huyo sio mdada, refer thread ya Zinduna

mmh! Majina mengne unakua na asumption kuwa ni huyu kumbe ni yule asante bhana mi ndo najua ni jinsia gan sasa iv.
 
kama unapenda kusema uongo uwe unakumbuka ulichodanganya kwan kuna siku uongo wote utakutokea puani
kuna mshkaji wangu mmoja alikua anamtaka demu flani sasa akataka nisimuite kwa jina lake akiwa na yule demu... na mimi nilikubali ila kwa sababu ya mazoea nilijisahau siku moja,,,, daaah jamaa alimind kinyama ninakumbuka nilikua olevel yani alimind mpaka leo sielewi alimind nini....!
 
A good liar should have a good memory. Azanteni zana waungwana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…