The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,333
- 3,567
mkuu kila anaetofautiana na kikwete/ccm lazima awe team lowassa.unataka kuuaminisha uma kua nje ya hayo makundi hutuwezi kufikiri?,kwamba nilazima tufikiri ndani ya hayo makundi?.Kikwete ni mwanasiasa aliekomaa kabisa, wewe unakerwa na yako, au utakuwa team lowassa.
Think before you leap. Hata wanaoishi nchi za kidhalimu wanajua kutumia laptop na kusoma.Hapa hapo alipo amefikishwa na SERA nzuri za CCM hadi kufikia kukaa nyuma ya LapTop yake na kuandika na kua Mjanja
ulichozungumza ni kweli,ni bora anyamaze kuliko kusema uongo waziwazikama ilivyo ada jana nikamskia mheshmiwa kikwete akijinasibu kua ccm ilishnda uchaguzi kwa sababu ya sera nzuri na zinazoeleweka kwa wtz. ukweli ni kwamba hua nakereka sana kusikia maneno ya aina hii, ukweli ni kwamba ccm imekua ikishnda chaguzi nyingi kama si zote kwa sehemu kubwa kwa kutumia mbinu chafu, huku kwetu temeke bwana mtemvu alitengeneza makundi ya joggingi mengi na kuwapa majez,kuwapeleka beach,kuwanunulia pombe,khanga,tshet,kofia, na hali imekua hivyo maeneo mengi sana nchi nzima ni upofu wa kiwango cha phd kuita hizo ni sera nzuri. nadhani ifike wakati viongozi wetu wabadilike waseme ukweli ili siasa zetu zibadilike.
kama ilivyo ada jana nikamskia mheshmiwa kikwete akijinasibu kua ccm ilishnda uchaguzi kwa sababu ya sera nzuri na zinazoeleweka kwa wtz. ukweli ni kwamba hua nakereka sana kusikia maneno ya aina hii, ukweli ni kwamba ccm imekua ikishnda chaguzi nyingi kama si zote kwa sehemu kubwa kwa kutumia mbinu chafu, huku kwetu temeke bwana mtemvu alitengeneza makundi ya joggingi mengi na kuwapa majez,kuwapeleka beach,kuwanunulia pombe,khanga,tshet,kofia, na hali imekua hivyo maeneo mengi sana nchi nzima ni upofu wa kiwango cha phd kuita hizo ni sera nzuri. nadhani ifike wakati viongozi wetu wabadilike waseme ukweli ili siasa zetu zibadilike.
Hapa hapo alipo amefikishwa na SERA nzuri za CCM hadi kufikia kukaa nyuma ya LapTop yake na kuandika na kua Mjanja
[/QUOTE]Think before you leap. Hata wanaoishi nchi za kidhalimu wanajua kutumia laptop na kusoma.
wanatumia ujinga na umaskini wa watanzania kujipatia maslahi yao ya kisiasaKama ilivyo ada jana nikamskia mheshmiwa Kikwete akijinasibu kuwa CCM ilishinda uchaguzi kwa sababu ya sera nzuri na zinazoeleweka kwa watanzania. Huwa nakereka sana kusikia maneno ya aina hii.
Ukweli ni kwamba CCM imekuwa ikishinda chaguzi nyingi kama si zote kwa sehemu kubwa kwa kutumia mbinu chafu, huku kwetu Temeke bwana Mtemvu alitengeneza makundi ya jogging mengi na kuwapa majezi, kuwapeleka beach, kuwanunulia pombe, khanga, tisheti, kofia na hali imekua hivyo maeneo mengi sana nchi nzima.
Ni upofu wa kiwango cha PhD kuita hizo ni sera nzuri. Nadhani ifike wakati viongozi wetu wabadilike waseme ukweli ili siasa zetu zibadilike.
Kama ilivyo ada jana nikamskia mheshmiwa Kikwete akijinasibu kuwa CCM ilishinda uchaguzi kwa sababu ya sera nzuri na zinazoeleweka kwa watanzania. Huwa nakereka sana kusikia maneno ya aina hii.

Lowasa ameshakubali kuwa alishindwa kihalali kwenye uchaguziKama ilivyo ada jana nikamskia mheshmiwa Kikwete akijinasibu kuwa CCM ilishinda uchaguzi kwa sababu ya sera nzuri na zinazoeleweka kwa watanzania. Huwa nakereka sana kusikia maneno ya aina hii.