Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Link husika tafadhaliKulingana na utafiti uliowasilishwa katika mkutano wa 2021 wa Jumuiya ya Urolojia ya Uropa, ilibainishwa kuwa unywaji wa maji kwa wingi husaidi kupunguza hatari ya upungufu wa maji mwilini ambayo inaweza kupunguza hatari ya maradhi ya moyo.
Daktari Natalia Dmitrieva, alisema katika utafiti huo kuwa wamefikia ugunduzi kwamba matumizi ya maji ya kutosha yanaweza kuzuia au angalau kupunguza mabadiliko ambayo yatasababisha kupungua utendajikazi wa moyo.
Wakati inapendekezwa kwa wanawake kunywa kati ya lita 1.6 na 2.1 za maji kwa siku, matumizi ya maji ya kila siku yanayopendekezwa kwa wanaume ni kati ya lita 2 hadi 3.
Utafiti uliofanywa kwa kiwango cha kimataifa unaonyesha kuwa watu wengi hawafiki hata viwango vya chini vya matumizi ya maji ya kila siku.
TRT
Wangesema kiwango cha maji kulingana na uzito wa mtu. Hiii ya kusema binadamu. Unaanzaje kunilinganisha Mimi mwenye futi 6 na Inches 9 na mtu mwenye futi 5 na Inches 6.Huu utafiti sipingani nao,lakini huwa wanafanya consideration kwa wale watu wanaoishi sehemu zenye baridi?mfano mimi nikiwa sehemu za baridi nikinywa maji nusu lita tu baada ya kuamka nitakojoa mpaka najiogopa,ni kila baada ya nusu saa lazima mkojo utoke,ni mwingi na mweupe,je hakuna madhara kwenye viungo vingine kama kweli utafikisha hizo lita 3 kwa siku?maana hapo sidhani kama figo nazo zitakuwa salama kama utakuwa ni utaratibu wako kwa mwaka mzima! (As drinking too much water can disrupt your body's electrolyte balance and lead to hyponatremia, 3 liters (100 ounces) may be too much for some people)....
Hii ni kweli hata hili gonjwa litakupita tuu, mimi nlikuwa na aleji na baridi yaani nisikae sehemu yenye baridi utanionea huruma, tangu nianze kunywa maji naishi maisha ya kujidai yaani na baridi yote ya mwaka huu nipo Arusha mwaka wa pili sijaumwa chochote.nakubaliana na utafiti huu,mimi ni mmoja ya watu ambao nakunywa maji sana haijalishi hali ya hewa,hadi nimepata uraibu wa kunywa maji maana nikikaa masaa maweli sijanywa hata nusu lita basi utendaji wa mambo yangu lazima utakuwa slow sana,na pia sijawahi kuumwa chochote tangu 14/10/2000 wanaeza umwa mafua au kikohozi nyumba nzima lkn mimi hata dalili sinaga
Unanunua galoni ya lita tano unaitunza unakuwa unakojoa humo then usiku unamwagahv mnajua ukinywa hayo maji na uko sehemu ambayo choo ni ya kulipia utatumia shilingi ngapi kwa siku kwa ajili kukojoa koja baada ya kunywa hayo maji nyie ?
ππππUnanunua galoni ya lita tano unaitunza unakuwa unakojoa humo then usiku unamwaga
hata mimi nilimsikia akisema hivyo tena muda mfupi baada ya daktari bingwa wa figo kuhimiza watu wanywe maji mengi ili kupunguza magonjwa ya figoUnafahamu unywaji wa maji mengi unasababisha maradhi ya moyo?
Na Mwandishi Maalum Lakini, mtaalamu bingwa kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janabi, ana kidokezo kuhusiana na matumizi ya nadharia hiyo kiholela kwamba yanaweza kumrudisha mhusika katika maradhi zaidi. Profesa Janabi, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa...www.jamiiforums.com
Hata mimi ndio maana nikajiuliza mkuu.Huu utafiti sipingani nao,lakini huwa wanafanya consideration kwa wale watu wanaoishi sehemu zenye baridi?mfano mimi nikiwa sehemu za baridi nikinywa maji nusu lita tu baada ya kuamka nitakojoa mpaka najiogopa,ni kila baada ya nusu saa lazima mkojo utoke,ni mwingi na mweupe,je hakuna madhara kwenye viungo vingine kama kweli utafikisha hizo lita 3 kwa siku?maana hapo sidhani kama figo nazo zitakuwa salama kama utakuwa ni utaratibu wako kwa mwaka mzima! (As drinking too much water can disrupt your body's electrolyte balance and lead to hyponatremia, 3 liters (100 ounces) may be too much for some people)....
π€£π€£π€£π€£π€£Unanunua galoni ya lita tano unaitunza unakuwa unakojoa humo then usiku unamwaga