Sawa kabisa, bila hawa tusingekuwa duniani..heshima kwa kina mama zetu na wake zetuHakuna tatizo mtoto ana haki ya kunyonyeshwa popote pale ambapo mama yake anahisi/anajua mwanae ana njaa.
Na ukiweza hakikisha mtoto anashiba kabla hujatoka home hatakusumbua njiani. Au tembea na chakula chake ie maziwa, uji au chakula chochote kama ameanza kula vyakula vingine. Proud to be mother!
Hakuna tatizo mtoto ana haki ya kunyonyeshwa popote pale ambapo mama yake anahisi/anajua mwanae ana njaa.
Ashushe amnyonyeshe lakini ajifunike katiti chake., mbona wengi tu wananyonyesha na wanajifunika?
Binti, Umeisha pigs copy? Kama bado sidhani kama unakielewa unacho kuongea!
Wazi mkuuSawa kabisa, bila hawa tusingekuwa duniani..heshima kwa kina mama zetu na wake zetu
View attachment 347873 View attachment 347874 View attachment 347875 View attachment 347876 View attachment 347877 View attachment 347878
View attachment 347879 View attachment 347880View attachment 347882View attachment 347881 View attachment 347883 View attachment 347884 View attachment 347885
Mpaka inatia raha..
bhas ukiona hvyo ujue ni kawaida tuu,maana haileti mgogoro wa nafsi ila tunafosi.Hakuna msisimko wowote naopata mkuu, nlimaanisha tu kwamba sometimes haijakaa vizuri kutoa ziwa hadharani na kunyonyesha mbele za watu, at least basi mtu ajisitiri kwa kipande cha nguo kama wakuu wengine walivyochangia hapo
Hili sio jibu sahihi, kuwashirikisha wazazi kwenye mijadala ya mtandaoni kama unamheshimu mama yako mheshimu na wa wenzako pia, hoja hapa sio kucha kunyonyesha hadharani ni namna wanavyonyonyeshaIli swali ungemuuliza mama yako angekupa jibu najua kuwa alifanya hivyo wakati akikulea
Mkuu hata ya mama anayenyonyesha?wengine tukiona maziwa hua tunasisimka.
Well said mkuuKwa mtazamk wangu anatakiwa kujistiri sio kujiachia ajifunike hata kanga mtoto apate Uhuru wa kunyonya vizuri
mkuu siku hizi kuna vitoto vinazaa chuchu bado mwakeMkuu hata ya mama anayenyonyesha?
Hahaha, mkuu kweli hufaimkuu siku hizi kuna vitoto vinazaa chuchu bado mwake