Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
Mkuu yaani wewe kama mimi tu yaani.Tena ndugu mbona ww vifurushi vyako bado bei poa tu...View attachment 1142015
Wanayo mkuu mm kwangu inakamata 4GTATIZO HAWANA 4G
Sasa mkuu kwa sh. 500 unapewa dk 20+10 za mitandao yote, sms 30 na Mb 50. Unataka wakupe nini tena zaidi ya hicho walichokupa kwa jero yako ?Wakuu kama kichwa kinavyojieleza, ni mtumiaji na mteja mzuri wa huo mtandao tajwa hapo juu ila kwa sasa wanachokifanya ni unyonyaji na si kutoa huduma.
Kadri siku zinavyoenda kwa upande wangu vifurushi vyangu vinazidi kupunguzwa mpk sasa tsh 500 napata mb 50 sijui tunakomoana au sababu mna coverage kubwa lazima watu wawe na line zenu na kwa watumiaji wa smartphones tunajua kua hizo mb hazilast hata lisaa ukikaa serious kugoogle your stuffs.
Najua mtasema nihame mtandao and YES nnahama but kama mkereketwa wa hili jambo nmeona nisiliache hivyo Tu lipite pengine tukipaza hata sauti zetu tunaweza badilsha jambo mahali.
Sijui hali zenu watumiaji wa voda zipoje huko?!!!?!View attachment 1142002View attachment 1142004
Nasikia jiwe lipo CHATOOOOO....
Mimi walianza kunipandishia kutoka 1GB kwa 1500/= hadi 1GB kwa 2000/=, sasa wamenipandishia 1.2GB kwa 3000/= kwa wiki, halafu sms wanazosema ni UNLIMITED ziliisha kwa siku 3Wasengerema sana wallah... Super UNI wamepunguza toka 3GB mpaka 1.5GB kwa wiki kwa 5000Tshs
HhhhhhWajinga sana hawa Vodacom Tanzania, wamenipandishia bei ya vifurushi kutoka 2000/= kwa 1GB hadi 3000/= kwa 1.2GB. Sms wananiambia ni UNLIMITED lakini hadi sasa zimeisha kwa siku 3 tu.
Acheni uhuni Vodacom Tanzania, na hela yenu niliyokopa siirudishi nahamia kununua bando kwa M-pesa
Tulia kwanza mkuu tuonje maumivu wote...Hhhhhh
Mkuu,hela yao irudishe
Inapungua after somtym kesho nnaeza kuta mb 10..jero ndogo kwako ndio maana unaona sawa na hujalalamika kwangu ni kubwa mnoSasa mkuu kwa sh. 500 unapewa dk 20+10 za mitandao yote, sms 30 na Mb 50. Unataka wakupe nini tena zaidi ya hicho walichokupa kwa jero yako ?
[emoji23][emoji23] watu watigo mpo humu!??Tigo matapeli wa kwanza.....hapa tz..mkuu
Mwaka 2015 niliweka 2000 nilichelewa kujiunga wakakata ..juu kwa juu nika wapigia simu kuwauulza vipi tgo.
Majibu...
Nilijunga na huduma zao nka sema swa,nikaingia tigo ivushe nikavuta mpunga 50000...hadi leo hii sijwai lipa wal kuweka vocha wala tigo pesa................
ubaya ni ubya.....nani anataka upumbuvu......
Peace & Love
Hawa watoto wa juzi bhana. Yaani unalinganisha voda na huu ujinga. Vodacom mtandao wake una nguvu sana kwa sisi tunaotumia ndio tunahuzunika kuuacha. Nina laini ya tigo lakini spidi yenu ya internet sio aisee. Very slow. UKIONA WATU WANALALAMIKA SANA HAWAHAMI JIULIZE KWA NINI?.Vodacom wajinga....sawa
Vodacom wapumbavu....sawa
Vodacom wezi.......sawa
Unakwenda Vodacom kufanya nini? Ridhika ba tigo iliyo nafuu na tamu na nyepesi na rahisi na yakisasa