BADO MMOJA
JF-Expert Member
- Jul 19, 2012
- 2,195
- 1,351
Chadema inaonekana kuwa makini sana pale bungeni na hata kwenye mahojiano na vyombo vya habari na wamekuwa hawasikii ,wakiambiwa wakielekezwa wanakuwa na misimamo isiyoambilika.Wanajiona wao ni wao hizi ni kasumba za Mwalimu Nyerere kiasi kufika kuitwa baba haambiliki ,jina ambalo alilichukia sana.
Safu hii ya Chadema iwapo watafanikiwa kuongoza dola hii,(Inshaallah wafanikiwe) tumeichoka CCM,kuna uwezekano kuiendesha au kuiongoza Tanzania kama itakuwepo kwa kutumia utawala wa kidikteta ni kushinda CCM ,bila ya shaka kutaiweka nchi katika woga na uhuru wa mwananchi utakuwa finyu.
Sioni busara yeyote ile wanayoitumia pale bungeni ,sioni hekima yeyote ile wanayoitumia katika lugha dhidi ya vyombo vya dola ,hivi wanataka kutuambia watakapo ingia katika duru ya kuiongoza Tz watavunja vyombo hivi wanavyovidharau na kuona haviwatendei haki.
Unyanyapaa huu wa kuvikomalia vyombo vya dola na kuvibeza ni jambo linalotia hofu sana.
Wewe ni pumbavu kabisa vyombo vya dola havinyanyasi chadema tu angalia ukweli usiwe mnafiki mjinga mkubwa wewe uko sayari gani wewe hata usione manyanyaso ya serikali kwa CHADEMA mambo mengine muwe mnaongea na wake zenu tu siyo kuleta ujinga humu jamvini
Tatizo majuha kama nyie ukifika mwezimchangakama huu mnazidi ujuha.
kuna ki2 nyuma ya chadema ni kibayasana watz wengi hawajuwi,, mwenye nafasi anipigie
Sidhani kama Mwiba utarudia kuleta mada tena JF (kama zinakutosha lakini)!!
Njoo kesho ofisini tuangalie jinsi ya kukupeleka studio! Naona kazi unaimudu vizuri!Wacheni ulimbukeni yaani mnajificha kwa kutafuta yasiyohusika,najua nimewagusa vibaya sana ,na zaidi nyie wafuata upepo na wapiga debe mna tabu sana hapa JF,yaani kama mimi ndio mode hawa wenye majibu yasioeleweka,ningewavunja vidole na kuwatia upofu ,wasiione JF kama mwezi hivi.
Suali lipo wazi ,ni kujibu tu hii Nchi mnaipeleka wapi ikiwa leo hamjui mtendalo,magwanda mazito ,mnatuonyesha ubabe au sio ,CCM yao ya kijani nyie yenu makaki mnataka kuifanyia makeniki na ukarabati hii nchi.
hayo magwanda huvaliwa na madikteta na sera za unyanyapaa pale bungeni na kuvikandia vyombo vya dola ni ishara mbaya za utawala wenu,hivi mtaunda jeshi jipya na usalama mpya ,mmewaahidi wangapi pale usalama wa Taifa kuwapa ulaji ,mnaipeleka nchi hii kubaya zaidi ya hapa tulipo.
Mi sipati picha,jinsi nitakavyomuona jk akikabidhi madaraka ya urais kwa dr slaa.nadhan itakuwa kumbkmb ya kipekee.
Yaani wewe unaota asbh na jua lishachomoza,wanakupa kiburi washabiki wa CDM waliopo JF?kwa taarifa yako hawazidi elfu 90 member wote jf,labda kanda ya kaskazini mtakabidhiwa iwe nchi yenu'
Naona jinsi wanachama na wapenzi wa CDM mnavyochangia ,halafu ndio mpewe nchi ,ni bora CCM ikazuia hapohapo ,bado hamjafikia kuachiwa nchi mkaongoza ,mmechooka kwelikweli ,hamna kitu vichwa vitupu na mawazo mgando ,angalau mmepata cha kuandika.
Haya subirini 2015 ,mushuhudie CCM inavyoibuka kidedea.na ndio mwisho wa CDM.
ukumbi wa piusi msekwa ulijaa vilio na wabunge wakasema lazima lazima Anna makinda awajibishwe kwa kupiga kura ya kutokuwa na imani nae!