Alfred Daud Pigangoma
JF-Expert Member
- Mar 30, 2009
- 1,833
- 972
Chadema inaonekana kuwa makini sana pale bungeni na hata kwenye mahojiano na vyombo vya habari na wamekuwa hawasikii ,wakiambiwa wakielekezwa wanakuwa na misimamo isiyoambilika.Wanajiona wao ni wao hizi ni kasumba za Mwalimu Nyerere kiasi kufika kuitwa baba haambiliki ,jina ambalo alilichukia sana.
Safu hii ya Chadema iwapo watafanikiwa kuongoza dola hii,(Inshaallah wafanikiwe) tumeichoka CCM,kuna uwezekano kuiendesha au kuiongoza Tanzania kama itakuwepo kwa kutumia utawala wa kidikteta ni kushinda CCM ,bila ya shaka kutaiweka nchi katika woga na uhuru wa mwananchi utakuwa finyu.
Sioni busara yeyote ile wanayoitumia pale bungeni ,sioni hekima yeyote ile wanayoitumia katika lugha dhidi ya vyombo vya dola ,hivi wanataka kutuambia watakapo ingia katika duru ya kuiongoza Tz watavunja vyombo hivi wanavyovidharau na kuona haviwatendei haki.
Unyanyapaa huu wa kuvikomalia vyombo vya dola na kuvibeza ni jambo linalotia hofu sana.
Kidogo umenisifia hapo hapo ukanigonga kirungu.
Mimi ni mfuasi wa Jf kwa muda sasa na kuna wakati natamani kujitoa kwani inaelekea kuna baadhi ya watu kwa maksudi wanalishushia hadhi jamvi letu.
Naamini ya kuwa mtu anayepost kitu hapa angalau ana uelewa wa computer na pia ana access na internet na kwa nchi yetu idadi hiyo ni ndogo hivyo basi washiriki ni class kidogo tofauti na most of the people.
Inasikitisha kuona watu wanavyomwaga ***** humu.
Tuvumilie nahisi ni transition na mwisho tutapata cream ya wachangiaji.
great makina xana mwandishi ya2pasa wote kufikiri kwa makini co kushabikia c a sa,2nadumazwa fikra na wa2 wachache.2nakataa u2mwa wa fikra wa wa2 wa nje ndani 2nakubali 2ondoe dhana ya kwamba cc na wafinyu ktk fikra!
Siku zote hesabu zangu mimi ni katika Chadema 10 mwenye akili timamu anaweza kupatikana mmoja tu na hii ni kuanzia Viongozi,Wanachama,hadi mashabiki....unaweza mwenyewe kupanga safu ya Viongozi wa Chadema unaowaona mashuhuri(siyo lazima iwe in a positive way) wa'list katika 10,timamu anaweza kuwa mmoja tu....kati ya Wa'CDM 10 waliochangia katika thread hii wewe ndo yule mmoja out of those 10,yaani wengine wanasikitisha kabisa...hoja imewekwa badala ya kuchangia vitu vya maana wao wanaonyesha ulevi,na hivihivi ndo Viongozi wao walivyo ndo maana utasikia mara "funga mlango tupigane" nitamzuia Rais asije Arumeru" na ***** mwingine mwingi tu,kwakweli inaogopesha sana kama hawa ndo tunaotaka kuwakabidhi dola mwaka 2015
Jambo moja ambalo linasababisha CHADEMA wapate wafuasi ni kuzungumza mambo kwa ushahidi.Kuna wakati wametetereka lakini most of the time wanatoa hoja ambazo zina mashiko.
Kuhusu vyombo vya dola ni wazi vina double standard na hili ni jambo la hatari.Kada wa CHADEMA kauawa Igunga lakini mpaka leo hatujasikia viongozi wa CCM wakihojiwa.
Usalama wa Taifa unaangalia maslahi ya viongozi walioko madarakani na ushahidi uko wazi kwani wangefanya kazi yao vizuri EPA na madudu mengine kama kuweka vijisenti abroad yasingekuwepo au wahusika wangekuwa behind the bars.
Kwa ujumla kuna ombwe na mkanganyiko mkubwa na wanachofanya chadema ni kuwazindua Watanzania.
Nakuomba utafute gazeti la raia mwema la wiki hii kuna jamaa kachambua vizuri jambo la vyombo vyausalama.
Tujadiliane kwaamani.
Mwiba, busara za CCM unaziona? Kuwafokea wabunge wenzao, kaa chini! Toka nje? Mwone alivyo kituko?
liwalo na liwe.Wacheni ulimbukeni yaani mnajificha kwa kutafuta yasiyohusika,najua nimewagusa vibaya sana ,na zaidi nyie wafuata upepo na wapiga debe mna tabu sana hapa JF,yaani kama mimi ndio mode hawa wenye majibu yasioeleweka,ningewavunja vidole na kuwatia upofu ,wasiione JF kama mwezi hivi.
Suali lipo wazi ,ni kujibu tu hii Nchi mnaipeleka wapi ikiwa leo hamjui mtendalo,magwanda mazito ,mnatuonyesha ubabe au sio ,CCM yao ya kijani nyie yenu makaki mnataka kuifanyia makeniki na ukarabati hii nchi.
hayo magwanda huvaliwa na madikteta na sera za unyanyapaa pale bungeni na kuvikandia vyombo vya dola ni ishara mbaya za utawala wenu,hivi mtaunda jeshi jipya na usalama mpya ,mmewaahidi wangapi pale usalama wa Taifa kuwapa ulaji ,mnaipeleka nchi hii kubaya zaidi ya hapa tulipo.
Si huyu Hemed Rashid! yeye akainuka akasema "Mh.Spika...kwa busara yako naomba .................."
Mwiba, busara za CCM unaziona? Kuwafokea wabunge wenzao, kaa chini! Toka nje? Mwone alivyo kituko?
Bibi kiroboto akachomoa kimagamba....ati oh.. kanuni inatumika vibaya....., bunge liendelea mpaka serikali sikivu ya CCM itakapokusanya taarifa za kutosha kuhusu ushiriki wa chadema kusababisha ajari! baadae kidogo waziri wa serikali sikivu akaja na hoja ya kuchomoa hoja ili bunge liahirishwe! bi kiroboto akaingia mkenge !nashangaa jana alikuwa pamoja na cdma kuvunja kanuni za bunge ambazo cuf wanasema zina vunjwa na cdm kila siku.
Nashukuru wameona rafiki mwema ni yupi!
Hivi baada ya Ahmadi rashidi spika makinda alisemaje?
Hapo kwenye red umesema kweli hawajui kuwa wewe una Phd ya chuo cha MABWEPANDE?Wacheni ulimbukeni yaani mnajificha kwa kutafuta yasiyohusika,najua nimewagusa vibaya sana ,na zaidi nyie wafuata upepo na wapiga debe mna tabu sana hapa JF,yaani kama mimi ndio mode hawa wenye majibu yasioeleweka,ningewavunja vidole na kuwatia upofu ,wasiione JF kama mwezi hivi.
Suali lipo wazi ,ni kujibu tu hii Nchi mnaipeleka wapi ikiwa leo hamjui mtendalo,magwanda mazito ,mnatuonyesha ubabe au sio ,CCM yao ya kijani nyie yenu makaki mnataka kuifanyia makeniki na ukarabati hii nchi.
hayo magwanda huvaliwa na madikteta na sera za unyanyapaa pale bungeni na kuvikandia vyombo vya dola ni ishara mbaya za utawala wenu,hivi mtaunda jeshi jipya na usalama mpya ,mmewaahidi wangapi pale usalama wa Taifa kuwapa ulaji ,mnaipeleka nchi hii kubaya zaidi ya hapa tulipo.