Aiseee!Eheeeee! baada ya hapo ikawaje?
Mkuu hii ni single ya ngapi tokea umeanza kuzitoa? Naona Karibu utatoa albumChadema inaonekana kuwa makini sana pale bungeni na hata kwenye mahojiano na vyombo vya habari na wamekuwa hawasikii ,wakiambiwa wakielekezwa wanakuwa na misimamo isiyoambilika.Wanajiona wao ni wao hizi ni kasumba za Mwalimu Nyerere kiasi kufika kuitwa baba haambiliki ,jina ambalo alilichukia sana.
Safu hii ya Chadema iwapo watafanikiwa kuongoza dola hii,(Inshaallah wafanikiwe) tumeichoka CCM,kuna uwezekano kuiendesha au kuiongoza Tanzania kama itakuwepo kwa kutumia utawala wa kidikteta ni kushinda CCM ,bila ya shaka kutaiweka nchi katika woga na uhuru wa mwananchi utakuwa finyu.
Sioni busara yeyote ile wanayoitumia pale bungeni ,sioni hekima yeyote ile wanayoitumia katika lugha dhidi ya vyombo vya dola ,hivi wanataka kutuambia watakapo ingia katika duru ya kuiongoza Tz watavunja vyombo hivi wanavyovidharau na kuona haviwatendei haki.
Unyanyapaa huu wa kuvikomalia vyombo vya dola na kuvibeza ni jambo linalotia hofu sana.
Si ndo akamvua nguo!, kumbe meli yenyewe haina hata ofisi, baadae Lukuvi akaomba mwongozo wa spika
si akainuka Eng Stella Manyanya,akasema Chadema ndiyo wanahusika na ajali hiyo!Si ndo akamvua nguo!, kumbe meli yenyewe haina hata ofisi, baadae Lukuvi akaomba mwongozo wa spika
si akainuka Eng Stella Manyanya,akasema Chadema ndiyo wanahusika na ajali hiyo!
Chadema inaonekana kuwa makini sana pale bungeni na hata kwenye mahojiano na vyombo vya habari na wamekuwa hawasikii ,wakiambiwa wakielekezwa wanakuwa na misimamo isiyoambilika.Wanajiona wao ni wao hizi ni kasumba za Mwalimu Nyerere kiasi kufika kuitwa baba haambiliki ,jina ambalo alilichukia sana.
Safu hii ya Chadema iwapo watafanikiwa kuongoza dola hii,(Inshaallah wafanikiwe) tumeichoka CCM,kuna uwezekano kuiendesha au kuiongoza Tanzania kama itakuwepo kwa kutumia utawala wa kidikteta ni kushinda CCM ,bila ya shaka kutaiweka nchi katika woga na uhuru wa mwananchi utakuwa finyu.
Sioni busara yeyote ile wanayoitumia pale bungeni ,sioni hekima yeyote ile wanayoitumia katika lugha dhidi ya vyombo vya dola ,hivi wanataka kutuambia watakapo ingia katika duru ya kuiongoza Tz watavunja vyombo hivi wanavyovidharau na kuona haviwatendei haki.
Unyanyapaa huu wa kuvikomalia vyombo vya dola na kuvibeza ni jambo linalotia hofu sana.
Castle Lite Baridii
hivi supu ya ulimi tayari..maake nimeshinda baharini tunaokoa so mapafu yanaganda...au na hili swala la seagull liko mahakamani tayari???
Baada ya Werema si ndo LIWALO NA LIWE naye akasema hata wakifa kwani wapiga kura wangu wa Mpanda haiwahusu!Nasikia Werema nae hakutaka apitwe,kama kawaida akadakia