Unyanganyi Wa Sea-Cleaf

Unyanganyi Wa Sea-Cleaf

Napenda kulizungmzia ili swala au kero linalowasumbua watanzania wengi. Kwa kweli, kwenda kupumzika au kula Sea-Cleaf ni tatizo ambalo uongozi wa jiji au serikali inabidi iingilie kati kwani tunakoelekea ni kubaya zaidi, kwani itafika hatua kila mtu atajichukulia hatua ya kufanya kila atakalo kwa manufaa yake

Kwa muda mrefu nimekuwa mteja wa eneo la Sea-Cliff hasa sehemu ya Karambezi restaurant. Napenda sana kwenda pale na familia yangu. Kwa bahati mbaya kwenda pale sasa hivi na gari ni tatizo. Chakula ni ghali kuliko sehmu ya kula ulaya. Mbaya zaidi, wanachaji kupaki gari. Yaani licha ya kwamba chakula ni ghali mno, bado unalazimishwa kulipia kupaki vinginevyo hautoki

Majuzi nilipoenda pale, nililalamika sana kuhusiana na hii tabia. Nikamwambia mkuu mmoja mwenye asilia ya Ki-Asia kwamba huu ni unyang'anyi. Yeye badala ya kunielewesha, aliniporomoshoea tusi la nguoni.Sikuwa na la kujibu. Tunaiomba serikali iingilie kati kuisaidia umma wa kitanzania. Vinginevyo tutawaomba wanchi waanze kuisusia hii sehemu kutokana na mwendelezo wa hii tabia. Serena, Kilimanjaro hata na Double tree ambazo ni za daraja za juu kupaki ni bure, lakini Se-Cliff wanachaji kupaki. Uongozi wa Sea-Cleaf tunaomba muingilie kati hili tatizo la kuwachaji wateja wenu kupaki gari ili kuja kula.

Nawakilisha
sio lazima kwenda hapo, kuna maeneo mengi tu mengine... wote tukiacha kwenda hapo watapunguza makeke
 
Yaani mhindi kwenye biashara hakuna mahala penye UNAFUU, biashara yao kwa asilimia kubwa ni PASUA KICHWA, alafu kuna pilipili sana pale Sea Cliff!
 
Pole sana ndugu kwa yaliokukuta INGAWA HIYO level duuuuh, wengine tutakusaidia kupiga kelele tu kwani hata tukiulizwa pale parking kwani shilingi ngapi tutabaki kutoa macho tu, never been there na wala sitarajii KUWEPO HAPO. sisi wengine mwenge na sinza ndio kwetu. Ila nam naungana nawe Kupinga huo unyanyasaji! Kwani chakula bei gani mkuu?

Nimependa busara zako. Na umbona umekata tamaa? Yaani inaonekana hutagusa sea cliff mpaka ufe!
 
Wana Jf Mnajua kuwa yale majengo ya sea cliff hotel na nyuma supermarket,nbc ni ya mama KARUME?
 
hiv ni lazima uende hapo na wewe???

Huyo mhindi alikuja fanya kazi toka south akazichanga kisha kakodisha hiyo karambezi.ni mpuuzi sana nshagombana nae sana kazini.ila pia nyie wateja waswahili wasumbufu sana.km unaona kero kulipa parking basi usiende.coco beach patakufaa maana parking free na ni jirani tu.
 
Hii nchi ina mazezeta wengi hata ukisema tusiende mengine yataenda..na kwa kweli kumcharge mteja parking huo ni uendawazimu
 
Wezi hao. They need boycotting, until their business idorore ndo watashika adabu. Wahindi bwana......... Watanzania inabidi wa boycott seakilff period. na hii ni right move. we need to spread the word kwa kila mtu ili washike adabu wabaki na hao wazungu wao. tu tuone kama biashara yao itaenda kokote
Hilo ndio wanalolitaka wao kukera watu wasiowataka ili waje kada fulani pekee labda wahindi wenzao wamechagua kuwa pale ndio wanapapenda na wasingetaka nyani mweusi around na ukiona hivyo kuna dili la haramu linaendelea hapo hawategemei biashara ya hoteli kama hoteli bali ni danganya toto kwahiyo kususia linaweza kuwa sio tatizo kwao bali faraja
 
Hii nchi ina mazezeta wengi hata ukisema tusiende mengine yataenda..na kwa kweli kumcharge mteja parking huo ni uendawazimu

Hhaaaa yaani mi naenda hata wa charge elfu 50...kuna demu wangu pale niache kwenda yethuuuu....mi naenda babangu
 
Nakubaliana na wewe gesi mtwara. Seacleaf wanahitaji boycotting. wanawaona watanzania kama mazezeta fulani. inabidi wafundishwe adabu. hela zetu tunazipata kwa tabu, wao ni kwa kukwepa kodi. inakera sana. hata na mimi nilichajiwa kupaki pale wakati nilikuwa naenda kula.
Nyie lalamikeni tu, mwenzenu nilishasusa kwenda huko siku nyingi tu


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Napenda kulizungmzia ili swala au kero linalowasumbua watanzania wengi. Kwa kweli, kwenda kupumzika au kula Sea-Cleaf ni tatizo ambalo uongozi wa jiji au serikali inabidi iingilie kati kwani tunakoelekea ni kubaya zaidi, kwani itafika hatua kila mtu atajichukulia hatua ya kufanya kila atakalo kwa manufaa yake

Kwa muda mrefu nimekuwa mteja wa eneo la Sea-Cliff hasa sehemu ya Karambezi restaurant. Napenda sana kwenda pale na familia yangu. Kwa bahati mbaya kwenda pale sasa hivi na gari ni tatizo. Chakula ni ghali kuliko sehmu ya kula ulaya. Mbaya zaidi, wanachaji kupaki gari. Yaani licha ya kwamba chakula ni ghali mno, bado unalazimishwa kulipia kupaki vinginevyo hautoki

Majuzi nilipoenda pale, nililalamika sana kuhusiana na hii tabia. Nikamwambia mkuu mmoja mwenye asilia ya Ki-Asia kwamba huu ni unyang’anyi. Yeye badala ya kunielewesha, aliniporomoshoea tusi la nguoni.Sikuwa na la kujibu. Tunaiomba serikali iingilie kati kuisaidia umma wa kitanzania. Vinginevyo tutawaomba wanchi waanze kuisusia hii sehemu kutokana na mwendelezo wa hii tabia. Serena, Kilimanjaro hata na Double tree ambazo ni za daraja za juu kupaki ni bure, lakini Se-Cliff wanachaji kupaki. Uongozi wa Sea-Cleaf tunaomba muingilie kati hili tatizo la kuwachaji wateja wenu kupaki gari ili kuja kula.

Nawakilisha
Si muache kwenda ili kuwakomesha hao wachuna ngozi wasiokua na adabu. Hivi kumtukana mteja akilalamika kuhusu unavyomtendea ni heshima gani kama sio dharau ilio moyoni? Hao jamaa wanadhani wao wana haki kutoka kwa mungu kumchuna mswahili ili wawe matajiri.
 
Anamwangalia hivi hivi, tena gabachori!!! Kwani kuna kituo cha polisi karibu. Aghriiii ahhh, hebu ani PM nimpe no yangu ya cm alafu ikimtokea tena aniite. Walahi huyo Gabachori will be in next flight to India if not Bangladesh or Pakistan and Nepal. Najua hao wanafugwa na sisiemu.
Yaaa bana...., eti ndio wawekezaji kazi yao kunyanyasa bandeko yetu na siku hizi wanatukana batu matusu ya nguoni.Aghh wacha tu, iko siku bana!!
 
Wengine hatujawahi kuwa pale. Wanachajije mkuu ili tujua mapema.
 
usikate tamaa mkuu nitakukaribisha kwenye sherehe yangu ya kipa-imara!

Hamjaniambia parking shilingi ngapi na kwa mfano mlo wa lunch ni bei gani! Let me be sure of the expenses first pls, so if I dont find you people there I can for a while keep myself LIVE there!
 
hubby umesahau siku ile nilivyokusuprise birthday yako ya siku ya kuzaliwa?

Birthday yako ya siku ya kuzaliwa
Barabara ya morogoro road
Mtaa wa Congo street
ATM machine

Mwingine aendelezee.
 
Back
Top Bottom