Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Wezi hao. They need boycotting, until their business idorore ndo watashika adabu. Wahindi bwana......... Watanzania inabidi wa boycott seakilff period. na hii ni right move. we need to spread the word kwa kila mtu ili washike adabu wabaki na hao wazungu wao. tu tuone kama biashara yao itaenda kokote
Dokta Shayo
Wanaume wenye wivu wa kike ni Wengi. Nlidhania ni Kiranga tu, kumbe hadi Nyani Ngambu? Umesahau umenipaga bans ngapi? Naona unampenda shayo sana....na mwenzie je? Nilikuwa kwenye Ban ya miezi sita wewe dada. nipishe mie,,,, mfyuuuuuuuu
Napenda kulizungmzia ili swala au kero linalowasumbua watanzania wengi. Kwa kweli, kwenda kupumzika au kula Sea-Cleaf ni tatizo ambalo uongozi wa jiji au serikali inabidi iingilie kati kwani tunakoelekea ni kubaya zaidi, kwani itafika hatua kila mtu atajichukulia hatua ya kufanya kila atakalo kwa manufaa yake
Kwa muda mrefu nimekuwa mteja wa eneo la Sea-Cliff hasa sehemu ya Karambezi restaurant. Napenda sana kwenda pale na familia yangu. Kwa bahati mbaya kwenda pale sasa hivi na gari ni tatizo. Chakula ni ghali kuliko sehmu ya kula ulaya. Mbaya zaidi, wanachaji kupaki gari. Yaani licha ya kwamba chakula ni ghali mno, bado unalazimishwa kulipia kupaki vinginevyo hautoki
Majuzi nilipoenda pale, nililalamika sana kuhusiana na hii tabia. Nikamwambia mkuu mmoja mwenye asilia ya Ki-Asia kwamba huu ni unyang'anyi. Yeye badala ya kunielewesha, aliniporomoshoea tusi la nguoni.Sikuwa na la kujibu. Tunaiomba serikali iingilie kati kuisaidia umma wa kitanzania. Vinginevyo tutawaomba wanchi waanze kuisusia hii sehemu kutokana na mwendelezo wa hii tabia. Serena, Kilimanjaro hata na Double tree ambazo ni za daraja za juu kupaki ni bure, lakini Se-Cliff wanachaji kupaki. Uongozi wa Sea-Cleaf tunaomba muingilie kati hili tatizo la kuwachaji wateja wenu kupaki gari ili kuja kula.
Nawakilisha
Napenda kulizungmzia
ili swala au kero linalowasumbua watanzania wengi. Kwa kweli, kwenda
kupumzika au kula Sea-Cleaf ni tatizo ambalo uongozi wa jiji au serikali
inabidi iingilie kati kwani tunakoelekea ni kubaya zaidi, kwani
itafika hatua kila mtu atajichukulia hatua ya kufanya kila atakalo kwa
manufaa yake
Kwa muda mrefu nimekuwa mteja wa eneo la Sea-Cliff hasa sehemu ya
Karambezi restaurant. Napenda sana kwenda pale na familia yangu. Kwa
bahati mbaya kwenda pale sasa hivi na gari ni tatizo. Chakula ni ghali
kuliko sehmu ya kula ulaya. Mbaya zaidi, wanachaji kupaki gari. Yaani
licha ya kwamba chakula ni ghali mno, bado unalazimishwa kulipia kupaki
vinginevyo hautoki
Majuzi nilipoenda pale, nililalamika sana kuhusiana na hii tabia.
Nikamwambia mkuu mmoja mwenye asilia ya Ki-Asia kwamba huu ni
unyanganyi. Yeye badala ya kunielewesha, aliniporomoshoea tusi la
nguoni.Sikuwa na la kujibu. Tunaiomba serikali iingilie kati kuisaidia
umma wa kitanzania. Vinginevyo tutawaomba wanchi waanze kuisusia hii
sehemu kutokana na mwendelezo wa hii tabia. Serena, Kilimanjaro hata na
Double tree ambazo ni za daraja za juu kupaki ni bure, lakini Se-Cliff
wanachaji kupaki. Uongozi wa Sea-Cleaf tunaomba muingilie kati hili
tatizo la kuwachaji wateja wenu kupaki gari ili kuja kula.
Nawakilisha
I won't be going there from Today!
ila mkuu una uvumilivu mpaka anakutukana unamwangalia tu.