Unyanganyi Wa Sea-Cleaf

Unyanganyi Wa Sea-Cleaf

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Posts
3,444
Reaction score
265
Napenda kulizungmzia ili swala au kero linalowasumbua watanzania wengi. Kwa kweli, kwenda kupumzika au kula Sea-Cleaf ni tatizo ambalo uongozi wa jiji au serikali inabidi iingilie kati kwani tunakoelekea ni kubaya zaidi, kwani itafika hatua kila mtu atajichukulia hatua ya kufanya kila atakalo kwa manufaa yake

Kwa muda mrefu nimekuwa mteja wa eneo la Sea-Cliff hasa sehemu ya Karambezi restaurant. Napenda sana kwenda pale na familia yangu. Kwa bahati mbaya kwenda pale sasa hivi na gari ni tatizo. Chakula ni ghali kuliko sehmu ya kula ulaya. Mbaya zaidi, wanachaji kupaki gari. Yaani licha ya kwamba chakula ni ghali mno, bado unalazimishwa kulipia kupaki vinginevyo hautoki

Majuzi nilipoenda pale, nililalamika sana kuhusiana na hii tabia. Nikamwambia mkuu mmoja mwenye asilia ya Ki-Asia kwamba huu ni unyang’anyi. Yeye badala ya kunielewesha, aliniporomoshoea tusi la nguoni.Sikuwa na la kujibu. Tunaiomba serikali iingilie kati kuisaidia umma wa kitanzania. Vinginevyo tutawaomba wanchi waanze kuisusia hii sehemu kutokana na mwendelezo wa hii tabia. Serena, Kilimanjaro hata na Double tree ambazo ni za daraja za juu kupaki ni bure, lakini Se-Cliff wanachaji kupaki. Uongozi wa Sea-Cleaf tunaomba muingilie kati hili tatizo la kuwachaji wateja wenu kupaki gari ili kuja kula.

Nawakilisha
 
Wezi hao. They need boycotting, until their business idorore ndo watashika adabu. Wahindi bwana......... Watanzania inabidi wa boycott seakilff period. na hii ni right move. we need to spread the word kwa kila mtu ili washike adabu wabaki na hao wazungu wao. tu tuone kama biashara yao itaenda kokote
 
  • Thanks
Reactions: kbm

Dokta Shayo
 
  • Thanks
Reactions: kbm
Nakubaliana na wewe gesi mtwara. Seacleaf wanahitaji boycotting. wanawaona watanzania kama mazezeta fulani. inabidi wafundishwe adabu. hela zetu tunazipata kwa tabu, wao ni kwa kukwepa kodi. inakera sana. hata na mimi nilichajiwa kupaki pale wakati nilikuwa naenda kula.
 
  • Thanks
Reactions: kbm
Dokta Shayo

Wanaume wenye wivu wa kike ni Wengi. Nlidhania ni Kiranga tu, kumbe hadi Nyani Ngambu? Umesahau umenipaga bans ngapi? Naona unampenda shayo sana....na mwenzie je? Nilikuwa kwenye Ban ya miezi sita wewe dada. nipishe mie,,,, mfyuuuuuuuu
 
Hujambo we binti?
 
  • Thanks
Reactions: kbm
Mkuu,
Hoteli ya Sea Cliff imekaa kushoto na kutokana na hilo inabidi Hotel Sea Cliff waajiri mgambo wa kulinda magari ya wateja maana wizi wa kuvunja vioo vya magari yaliyopaki hapo ulikuwa inaharibu sifa ya hoteli hiyo na usalama wa wateja.

hivyo Mkuu hatuna jinsi inabidi kuchangia usalama wetu, hizo hoteli kama Kilimanjaro n.k mtu hawezi kuzubaa zubaa ktk parking za magari kutokana na eneo na ubize wa hoteli hiyo hivyo mgambo mmoja anatosha kuangali magari zaidi ya 50 wakati Sea Cliff hakujachangamka sana na wahalifu kupata mwaya wa kuharibu starehe za watu.
 
Pole sana ndugu kwa yaliokukuta INGAWA HIYO level duuuuh, wengine tutakusaidia kupiga kelele tu kwani hata tukiulizwa pale parking kwani shilingi ngapi tutabaki kutoa macho tu, never been there na wala sitarajii KUWEPO HAPO. sisi wengine mwenge na sinza ndio kwetu. Ila nam naungana nawe Kupinga huo unyanyasaji! Kwani chakula bei gani mkuu?
 
  • Thanks
Reactions: kbm
Tatizo letu hotel zote zimejaa wahindi ndio wameajiriwa na hawana uchungu. Na nchi wao wanachojali ni prsa yao imeingia tu basi.
Something must be done kuokoa hiisekta ya utalii
 
  • Thanks
Reactions: kbm
Napenda kulizungmzia ili swala au kero linalowasumbua watanzania wengi. Kwa kweli, kwenda kupumzika au kula Sea-Cleaf ni tatizo ambalo uongozi wa jiji au serikali inabidi iingilie kati kwani tunakoelekea ni kubaya zaidi, kwani itafika hatua kila mtu atajichukulia hatua ya kufanya kila atakalo kwa manufaa yake

Kwa muda mrefu nimekuwa mteja wa eneo la Sea-Cliff hasa sehemu ya Karambezi restaurant. Napenda sana kwenda pale na familia yangu. Kwa bahati mbaya kwenda pale sasa hivi na gari ni tatizo. Chakula ni ghali kuliko sehmu ya kula ulaya. Mbaya zaidi, wanachaji kupaki gari. Yaani licha ya kwamba chakula ni ghali mno, bado unalazimishwa kulipia kupaki vinginevyo hautoki

Majuzi nilipoenda pale, nililalamika sana kuhusiana na hii tabia. Nikamwambia mkuu mmoja mwenye asilia ya Ki-Asia kwamba huu ni unyang'anyi. Yeye badala ya kunielewesha, aliniporomoshoea tusi la nguoni.Sikuwa na la kujibu. Tunaiomba serikali iingilie kati kuisaidia umma wa kitanzania. Vinginevyo tutawaomba wanchi waanze kuisusia hii sehemu kutokana na mwendelezo wa hii tabia. Serena, Kilimanjaro hata na Double tree ambazo ni za daraja za juu kupaki ni bure, lakini Se-Cliff wanachaji kupaki. Uongozi wa Sea-Cleaf tunaomba muingilie kati hili tatizo la kuwachaji wateja wenu kupaki gari ili kuja kula.

Nawakilisha

We are living in a growing competitive business environment. Business managers are investing millions of money on research in order to garner views that will give them an understanding of how best they serve their customers and consequently meet their (customers') expectations. If this is not happening with Sea Cliff, you have the right to quit their services quitely and let others who can afford "poor quality services" continue using the services. However, thanks for alerting potential customers of the place, nevertheless, the decision whether or not to use the place entirely rests on themselves!
 
wanalipiza hela walotumia kuirenovate baada ya kuungua
 
  • Thanks
Reactions: kbm
kwani ni lazima uende sea clif? acha utumwa wa akili. raha jipe mwenyewe
Napenda kulizungmzia
ili swala au kero linalowasumbua watanzania wengi. Kwa kweli, kwenda
kupumzika au kula Sea-Cleaf ni tatizo ambalo uongozi wa jiji au serikali
inabidi iingilie kati kwani tunakoelekea ni kubaya zaidi, kwani
itafika hatua kila mtu atajichukulia hatua ya kufanya kila atakalo kwa
manufaa yake

Kwa muda mrefu nimekuwa mteja wa eneo la Sea-Cliff hasa sehemu ya
Karambezi restaurant. Napenda sana kwenda pale na familia yangu. Kwa
bahati mbaya kwenda pale sasa hivi na gari ni tatizo. Chakula ni ghali
kuliko sehmu ya kula ulaya. Mbaya zaidi, wanachaji kupaki gari. Yaani
licha ya kwamba chakula ni ghali mno, bado unalazimishwa kulipia kupaki
vinginevyo hautoki

Majuzi nilipoenda pale, nililalamika sana kuhusiana na hii tabia.
Nikamwambia mkuu mmoja mwenye asilia ya Ki-Asia kwamba huu ni
unyang’anyi. Yeye badala ya kunielewesha, aliniporomoshoea tusi la
nguoni.Sikuwa na la kujibu. Tunaiomba serikali iingilie kati kuisaidia
umma wa kitanzania. Vinginevyo tutawaomba wanchi waanze kuisusia hii
sehemu kutokana na mwendelezo wa hii tabia. Serena, Kilimanjaro hata na
Double tree ambazo ni za daraja za juu kupaki ni bure, lakini Se-Cliff
wanachaji kupaki. Uongozi wa Sea-Cleaf tunaomba muingilie kati hili
tatizo la kuwachaji wateja wenu kupaki gari ili kuja kula.

Nawakilisha
 
ila mkuu una uvumilivu mpaka anakutukana unamwangalia tu.

Anamwangalia hivi hivi, tena gabachori!!! Kwani kuna kituo cha polisi karibu. Aghriiii ahhh, hebu ani PM nimpe no yangu ya cm alafu ikimtokea tena aniite. Walahi huyo Gabachori will be in next flight to India if not Bangladesh or Pakistan and Nepal. Najua hao wanafugwa na sisiemu.
 
Back
Top Bottom