Myfancyface
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 948
- 900
Ni kwamba huyu mama anamdai mtu milioni kadhaa. Ndugu wa mtuhumiwa walifika mahakamani mapema na kupanga mikakati na watu wa mahakama. Mojawapo ni kumfundisha mtuhumiwa jinsi ya kujibu. Lakini mbele ya hakimu, mshatakiwa akakiri kosa. Cha kushangaza hakimu akaahirisha kesi. Ili iweje?!! Maskini mjane huyu.Nadhani ungezungumza kwa undani kuhusu sakata hilo, ili wanaojua/ wanasheria wamshauri muhusika....ingependeza zaidi.
Ahsante sana.Tafuteni mwanasheria tu...awashauri juu ya hilo swala kwa primary court
[emoji3] [emoji3]Mshauri siku akiwa anaenda mahakaman avae madera ya ccm au kanga
Ahsante sana mkuu.Mheshimiwa Luhwago hebu fuatilia hii kitu mie nilikuwa na kesi ya kubambikiwa na tajiri yangu mwarabu pale buguruni wakanifunga kifungo cha nje miezi sita. Nilipokata rufaa uliisimamia vizuri na kwa haki nikashinda. Naomba umsaidie huyu mama pliz mnyalukolo.
Usishangae ndugu jaribu hilo utaniambia hiyo kesi itaisha mapema[emoji3] [emoji3]