kwanini mna generalize hivi?
Hii dhambi ya samaki mmoja akioza wote wameoza itaisha lini?
Mnavo walalamikia wazungu sababu ya wabaya wachache ni kama vile
mnasema "Waafrika ni malaika,wote tu wasafi"
very bad
Kila kitu ni nouma aisee......4 years of untold suffering usipime!
Kibaya zaidi home kwao anaheshimika na kupendwa kwa vile ni "successful".
Maskini familia nyingi huwa proud ati wana ndugu anafanya kazi ulaya! Kumbe?!
Acheni ushamba nyie Matumbi. Sasa hapa Uzungu una uhusiano gani na utumwa au Unyanyasaji?
Mbona watu kama Samuel Etoo alienda Ulaya akiwa kijana wa miaka 16 na leo ni tajiri Mkubwa huku akiwa mchezaji anayelipwa pesa kuliko wote kwa wiki DUNIANI. Na siyo yeye tu, wapo wengi sana wamefanikiwa mno kwa kufika kwao Ulaya.
Huyo dada inasikitisha sana. Unaweza kukuta hao waliomfanyia huo unyama wala siyo Wazungu. Hiyo biashara kwa sasa imeshikwa sana na Gypsy. Kuna siku niliona mahekalu wanayojenga kwao Rumunia, yanatisha. Pia kuna hawa watu kutoka Latin America, Wachina/Asian kwa ujumla ukiacha Waarabu. Pia usisahau pembeni ya Gypsy kuna mtu anaitwa ALBANIANS. Hawa watu wa Albania ukiongeza na Kosovo, ni watu washenzi na wakatili sana na kama sikosei ndiyo wanaONGOZA kwenye hii biashara ya utumwa wa mapenzi. Huchukua watu dunia nzima na kuwapeleka Ulaya na huko huwaweka kwenye madanguro na kuwafanyia kila aina ya unyama.
Wengi hudanganywa kuwa wanapelekwa kufanya kazi nzuri ila wakifika huko, hunyang'anywa Passport na kuanza kutishwa.
Akina dada na akina kaka, mjitahidi kuwa na uhakika ni watu gani mna deal nao. Piga simu au wasiliana na Ubalozi husika na wajulishe juu ya huo mpango ili usije achwa kwenye mataa. Mipango hiyo, panga pangua kuna Wanigeria wanahusika. Sasa mbona hao hamuwasemi? Hii ni dunia ya kusanya pesa, watu hawaangalii MAKUNYANZI yenu. PESA, ohhhh PESA.
Mimi na tanzania, huu upuzi waulete huku waone wanavyolimwa visogo. Poleni wadada mnapenda vya bure!
hamna mtu mwenye ushahidi wa hayo maneno,hizo zinabaki ni imani sawa na wale wanaoamini albino watawaletea utajiri.
Mbona hata huku wanaufanya tena kwa kushirikiana na ndg zetu? Nimewahi kusimuliwa kisa cha mgodini Geita, haina tofauti Sometimes najiuliza kama wazungu ni watu kweli ama ni wanyama gani hasa au ndio walikuwa Wanefili enzi zile? :hat: