Simba kula binadam MSITUNI ni unyama, Lakini Simba huyo kuuliwa na binadam MSITUNI Siyo-Unyama.
Bomu kurushwa Vitani ni Ushujaa, lakini Bomu kurusha mochwari ni Ufala.
Kutoa msaada siyo unyama, lakini kutumia msaada huo uliopewa kumuumiza mtoaji ni Unyama
Jeshi la polisi ni kazi yenye nidhamu siyo genge la waharifu waliovaa sare.
Misingi ya jeshi la polisi ni kukamata kwa mujibu wa sheria siyo kuuwa, kujeruhi na kutupa watu hovyo!
Kitendo kilichofanywa na jeshi la polisi kwa makada wa chadema kuwashambulia, kuwajeruhi na kuwatupa si cha kiungwana hata kidogo.
Ni kitendo cha kishetani kisicho hata na chembe ya utu ndani yake!
Hakuna aliyejuu ya sheria, Kumshambulia Raia ambae hana hatia, kumjeruhi na kibaya zaidi kwenda kumtupa kama takataka ni dhihaka ya juu sana kwa Mungu aliyemuumba;
Ni ishara ya kumuonesha hata Mungu kwamba aliumba takataka ambayo uhai wake hauna thamani.
Polisi Polisi polisi Mlioshiriki huo unyama Hakika nawaambia huo siyo Upolisi bali Uharifu kuliko hata waharifu wengine.
Wote mlioshiriki kusuka, kupanga, kujeruhi, kuumiza na kutupa hao viumbe wa Mungu Laana haitakauka Maishani mwenu kwa kufuru mliyoifanya!
Mmelifedhehesha sana jeshi la polisi bila sababu yoyote ya msingi!
Nafaham mlitaka kutuma ujumbe wa vitisho lakini inafaida gani kwenu kwa kujitwalia laana hiyo kuu?