feis buku
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 2,341
- 678
Thank you sana doctor[/QUOTE okoka na umtumikie bwana hii ndo dawa pekee ya tatizo lako
Thank you sana doctor[/QUOTE okoka na umtumikie bwana hii ndo dawa pekee ya tatizo lako
Hii ndo naisikia leo!
Minyoo au upungufu wa chuma mwilini yaweza kuwa sababu lkn inaweza kuwa addiction Kama addiction nyengine?
Mara ya kwanza ulikula udongo lini?
Naamini sitapata addiction wala hamu hiyo kwa vile sijawahi taste udongo umekaaje au?