Ununuzi wa vifurushi vya ving'amuzi

Ununuzi wa vifurushi vya ving'amuzi

Sam 2013

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
484
Reaction score
492
Habari zenu wana jukwaa, kwanza poleni na majukumu. Nina swali moja, hivi nikilipia shilingi elfu tano kwenye kifurushi cha azam au startimes badala ya bei halisi ya 12,500 au 10,000 naweza kupata hata chaneli chache za kutizama au haiwezekani? Nina mpango wa kununua king'amuzi kwa ajili ya kutizama taarifa ya habari na kuangalia muvi kidogo, kwa hiyo sihitaji Chanel nyingi kwani nna muda kidogo wa kuangalia TV na kipato changu hakiniruhusu kulipia vifurushi kila mwezi. Natanguliza shukrani wakuu.
 
Mkuu naomba ufanye hivi:-
nenda kwanza ukazimue maana naona viloba vya jana bado vimo kichwani ndo maana unapost utadhani umetumia mak.a.l.io kufikiri yaani wao wana bei iliopangwa wewe unakuja na yako
 
Umeniua mbavu
 
startmes hata buku unafunguliwa mkuu. sijui azam tv.
 
Mkuu naomba ufanye hivi:-
nenda kwanza ukazimue maana naona viloba vya jana bado vimo kichwani ndo maana unapost utadhani umetumia mak.a.l.io kufikiri yaani wao wana bei iliopangwa wewe unakuja na yako

Shukrani mkuu ila punguza ukali wa maneno. Uungwana ni vitendo mkuu.
 
Habari zenu wana jukwaa, kwanza poleni na majukumu. Nina swali moja, hivi nikilipia shilingi elfu tano kwenye kifurushi cha azam au startimes badala ya bei halisi ya 12,500 au 10,000 naweza kupata hata chaneli chache za kutizama au haiwezekani? Nina mpango wa kununua king'amuzi kwa ajili ya kutizama taarifa ya habari na kuangalia muvi kidogo, kwa hiyo sihitaji Chanel nyingi kwani nna muda kidogo wa kuangalia TV na kipato changu hakiniruhusu kulipia vifurushi kila mwezi. Natanguliza shukrani wakuu.

King Sammynakushauri badala ya kununua ving'amuzi ununue decoda aina ya strong4922 utakuwa umeyapata maisha.hebu nipm nikupe maelezo zaidi ikiwa ni pamoja na wapi utaipata kwa bei nafuu kabisa
 
Last edited by a moderator:

mkuu hembu mwaga mchele uzuri wa [strong 4922] soka lipo na garama.
 
Hii ni FTA(free to Air receiver) receiver...ukitaka soka labda uweke CCcam 70,000/= kwa miezi mitatu

Mfano sasa hivi continental wako FTA na mleta mada haiitaji kulipia kifurushi kila mwezi wakati kuna channel kibao za bure za taarifa ya habari

Labda kama anafurahia na yeye kwake kuwepo na dish la pay tv
 
King Sammynakushauri badala ya kununua ving'amuzi ununue decoda aina ya strong4922 utakuwa umeyapata maisha.hebu nipm nikupe maelezo zaidi ikiwa ni pamoja na wapi utaipata kwa bei nafuu kabisa

Mkuu nishakupm tayari, asanteeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Hii ni FTA(free to Air receiver) receiver...ukitaka soka labda uweke CCcam 70,000/= kwa miezi mitatu

Mfano sasa hivi continental wako FTA na mleta mada haiitaji kulipia kifurushi kila mwezi wakati kuna channel kibao za bure za taarifa ya habari

Labda kama anafurahia na yeye kwake kuwepo na dish la pay tv

Hiyo cccam imekaaje,naona avatacam ipo chini kwa sasa hauwezi kulipia kwa mwezi 25000 kwa miezi mitatu kidogo kidogo maana hizi account haziaminiki nina receiver ya qsat.
 
Server administartor anatengeneza miezi mitatu na sita tu...
Lakini miezi mitatu iko Fair unlike miezi au mwaka
 
Tofauti yake na avatacam ni ipi maana avatacam kwa sasa ipo chini,na kama ikienda chini kama avatacam refund itakuwepo?
 
Back
Top Bottom