Ununuzi wa ndege 6 ulipangwa bajeti ipi?

Hapa kazi tuu tokeni Na vihoja vyenu vya udhaifu hapa nyie mafisadi
Kweli nyani hauni kundule lake. Leo Chadema imekuwa fisadi?
Aise...................
Unajua kuwa ufisadi wa ssm ndiyo umeifanya nchi hii iwe maskini sana kila kukicha.
Kwahiyo nyie ni watakatifu sana?
-Meshindwa kuajiri vijana kisa uhakiki wa wafanyakazi
-Hakuna fao la kujitoa
-Vijana wa chuo kikuu wamerudi nyumbani sbb hakuna mikopo.
Duh!
Bora yangu yangu mm niliyesoma enzi ya KIKWETE. Ingekuwa enzi hizi za ccm ya wanyonge nisingepata mkopo.
Viongozi wa awamu hii wako radhi ufe huku wao wanashangilia.
 
Mkuu katisha mbaya, kununua kitu usichopenda kutumia mwenyewe si jambo rahisi
 





Niitaka tu umkumbushe HABARI ZA TUKO KWENYE MCHAKATO hazipo tena.
 
Cha ajabu kuna watu inawauma jinsi nchi inavyonyooshwa.
 
Except kwa wapinzani uchwara
 


Hahaha!! Umekosa dili? .
 
Hilo bunge ni bange tupu.
Mara Sugu ataka kurusha Kungfu, mara Mbowe kagoma, Kubenea kaongoza watu kutoka nje........... heri bunge la mtu mmoja.

ni heri hao wavuta bange kuliko wabunge wa ccm ambao wanachukua rushwa milioni 10 kukandamiza raia na kujitoa akili....

wabunge ndiyooo... ni mzigo.
 
Yanini sasa kuwa na sheria ya manunuzi? kumbe kazi ya kununua inaweza kufanywa na mtu mmoja tu na wala asihojiwe kwa kisingizio cha nia njema.
 
Safari hii Bunge halina nguvu. Imebaki mihimili miwili yenye nguvu.
Wabunge wa CCM wameshikiwa akili na Lumumba.
 
Kwa utarabu huu ninahisi bunge limeanza kukosa kazi.. Kazi anayoifanya rais ni kubwa wala haina ubishi. Itikadi tuziweke pembeni
 
Rais akifanya jambo oooh bajeti ipi, mbowe akijiandikia posho za ruzuku chadema kimya, si mmhoji mbowe kama mnaakili hizo????
 
Wizara ya ujenzi waliomba kununua ndege na zilipitishwa, sema kwa vile bunge siyo live kwa hiyo siyo rahisi kujua.
 
Mkuu hayakupangiwa bajeti na wala taratibu za manunuzi za Serikalini hazikufuatwa. Natumai Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali za Hesabu nchini atayaangalia manunuzi ya ndege hizi kwa kina na kuweka kwenye ripoti yake ya mwaka.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…