mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 6,529 Reaction score 18,278 Jul 31, 2023 #21 Ushimen said: Maji ya moto hugeuka kuwa barafu haraka zaidi kuliko maji baridi...π Click to expand... hichi kitu kama nilikisoma form 2 kwenye topiki fulani hivi inaelezea mambo ya latent heat of fusion na mambo ya linear expansivity kama sikosei nshasahau..
Ushimen said: Maji ya moto hugeuka kuwa barafu haraka zaidi kuliko maji baridi...π Click to expand... hichi kitu kama nilikisoma form 2 kwenye topiki fulani hivi inaelezea mambo ya latent heat of fusion na mambo ya linear expansivity kama sikosei nshasahau..
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,066 Reaction score 39,512 Jul 31, 2023 #22 paka hulia usiku kama sehemu ya kuchombezana kwa ajili ya kujamiiana,sio uchawi kama wengi tunvyodhanj.
paka hulia usiku kama sehemu ya kuchombezana kwa ajili ya kujamiiana,sio uchawi kama wengi tunvyodhanj.
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,527 Jul 31, 2023 #23 Elephants never jump
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,066 Reaction score 39,512 Jul 31, 2023 #24 watu wengi huzungusha mikono kwa jinsi hiyo kwa uelekeo mmoja,wakati huo akili zao zikidhani wanazungusha uelekeo tofauti. ni zoezi gumu sana kuzungusha uelekeo tofauti,na utaliacha bila kushtuka kwamba umeshahamia uelekeo mmoja tena.
watu wengi huzungusha mikono kwa jinsi hiyo kwa uelekeo mmoja,wakati huo akili zao zikidhani wanazungusha uelekeo tofauti. ni zoezi gumu sana kuzungusha uelekeo tofauti,na utaliacha bila kushtuka kwamba umeshahamia uelekeo mmoja tena.
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,066 Reaction score 39,512 Jul 31, 2023 #25 daima tanguliza mguu wa kushoto kukanyaga chini ukishuka kutoka kwenye chombo kinachotembea. kinyume na hapo chance ya kufikia uso chini ni 90%
daima tanguliza mguu wa kushoto kukanyaga chini ukishuka kutoka kwenye chombo kinachotembea. kinyume na hapo chance ya kufikia uso chini ni 90%
D dagii JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 4,959 Reaction score 3,777 Jul 31, 2023 #26 Uzi bomba
Muuza Viat JF-Expert Member Joined Dec 23, 2022 Posts 2,845 Reaction score 7,415 Jul 31, 2023 #27 Ushimen said: Mende ndio kiumbe mwenye uwezo wa kuishi hadi wiki moja baada ya kukatwa kichwa (bila kichwa chake).... Click to expand... Akikatwa kichwa cha juu au cha chini???
Ushimen said: Mende ndio kiumbe mwenye uwezo wa kuishi hadi wiki moja baada ya kukatwa kichwa (bila kichwa chake).... Click to expand... Akikatwa kichwa cha juu au cha chini???
Muuza Viat JF-Expert Member Joined Dec 23, 2022 Posts 2,845 Reaction score 7,415 Jul 31, 2023 #28 Mudimkushi said: View attachment 2703947 Click to expand... Mvua ikinyesha
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,297 Reaction score 21,699 Jul 31, 2023 #29 Mad Max said: View attachment 2703906 Click to expand... Sio July?
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Jul 31, 2023 #30 Mad Max said: View attachment 2703905 Click to expand... Hahahaaa.....
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,768 Reaction score 103,714 Jul 31, 2023 #31 Ushimen said: Maji ya moto hugeuka kuwa barafu haraka zaidi kuliko maji baridi...π Click to expand... Physics hii.
Ushimen said: Maji ya moto hugeuka kuwa barafu haraka zaidi kuliko maji baridi...π Click to expand... Physics hii.
2 of Amerikaz most wanted JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 1,328 Reaction score 3,725 Aug 1, 2023 Thread starter #32
2 of Amerikaz most wanted JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 1,328 Reaction score 3,725 Aug 1, 2023 Thread starter #33
2 of Amerikaz most wanted JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 1,328 Reaction score 3,725 Aug 1, 2023 Thread starter #34
2 of Amerikaz most wanted JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 1,328 Reaction score 3,725 Aug 1, 2023 Thread starter #35
2 of Amerikaz most wanted JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 1,328 Reaction score 3,725 Aug 1, 2023 Thread starter #36