Kampuni ya magari ya JAPAN, SBT JAPAN imetoa punguzo kubwa la magari yake ambayo yanakaribia kufika bandarini Dar es Salaam wiki Ijayo. kwa anayetaka kununua gari awasiliane nasi kupitia email: info@gmconsultz.com ama simu +255 737 208872 tuweze kumpatia list ya magari hayo na kuchagua gari aitakayo. Kumbuka sisi ni wakala wa masoko tu hatupokei fedha yeyote kutoka kwa mteja. Malipo yote yatafanyika kwa SBT Japani na sio vinginevyo jinsi ya kulipia ni kama invyosomeka kwenye mtandao wao www.sbtjapan.com, kama kuna maswali tunaweza kukusaidia karibu sana. lipia gari leo kesho upate gari yako.