kande kavu JF-Expert Member Sep 17, 2011 234 86 Jun 15, 2012 #1 Haya haya wanajamii. Natumaini mmeliona/sikia tangazo jipya la TACAIDS juu ya network ya wapenzi(mtungo), ambapo mimi nakubali kabisa ndivyo ilivyo! Je huu si wakati wa kujitoa kwenye hizo networks kwa salama yetu?
Haya haya wanajamii. Natumaini mmeliona/sikia tangazo jipya la TACAIDS juu ya network ya wapenzi(mtungo), ambapo mimi nakubali kabisa ndivyo ilivyo! Je huu si wakati wa kujitoa kwenye hizo networks kwa salama yetu?
cartura JF-Expert Member Aug 13, 2009 3,026 788 Jun 15, 2012 #2 la kuvunda halina ubani na sikio la kufa halisikii dawa....acha wamegane tu kwa raha zao
N Ngekewa JF-Expert Member Jul 8, 2008 7,705 1,288 Jun 15, 2012 #3 kande kavu said: Haya haya wanajamii. Natumaini mmeliona/sikia tangazo jipya la TACAIDS juu ya network ya wapenzi(mtungo), ambapo mimi nakubali kabisa ndivyo ilivyo! Je huu si wakati wa kujitoa kwenye hizo networks kwa salama yetu? Click to expand... Kwa kipindi hichi labda uiache nyumani tu!
kande kavu said: Haya haya wanajamii. Natumaini mmeliona/sikia tangazo jipya la TACAIDS juu ya network ya wapenzi(mtungo), ambapo mimi nakubali kabisa ndivyo ilivyo! Je huu si wakati wa kujitoa kwenye hizo networks kwa salama yetu? Click to expand... Kwa kipindi hichi labda uiache nyumani tu!
CharmingLady JF-Expert Member Apr 16, 2012 18,255 12,872 Jun 15, 2012 #4 mh,mtandao huo umekuwa kwa kas kushinda mitandao yote nchini! Tanzagiza bila ukimwi haiwezekan. . .