Unlocking mobile phones

Good Father

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
10,320
Reaction score
18,599
Habari zenu wakuu,

naleta mada ambayo napenda tufundishane namna ya kutafuta unlocking code za simu. Imekua utamaduni kwa watu baadhi kuomba fedha nyingi sana ili kufanya hiyo kazi hivi ni kweli hizo hesabu ni ngumu kiasi hicho?

Tujadiliane kama kuna mtu ana mwanga ili tuzisome hizo hesabu hapa.

Nawasilisha.
 
Watafute Mabingwa Wa KUCHEPUKA Kwani Ndiyo Wanajua Codes Zote Za Ku Lock Na Ku Unlock!

Kuna Moja Nilifundishwa Na Mtu Ku Lock Nami Nikajipendekeza Kujaribu Ku Lock Matokeo Yake Hadi Leo Simu Ipo KARAKARANI Kwa Fundi Na Sina Hamu Tena Na Michezo Hiyo Ya Ku Lock Na Ku Unlock.
 
Mkuu hebu tupe maujanja hayo mara moja moja tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…