Hiyo ya mkopo au imetoka nje ya bch ipo locked
Kama alikununilia alitakiwa kuhakikisha ni unlocked
Mi niliingia gharama mwanzo nilinunua marekani bila kutizama hicho kipengeve via ebay
Kilinilamba ..sema wenzetu wamenyooka wana return and refund policy nzuri sana

Si ya gharama kiasi cha kuhangaika nayo, kinokia kidogo tu. Ilitoka Zanzibar. Nasikia wanauza kwa mfumo wa no test. We chukua kama umelidhia, utajua mbele ya safari. Sasa, alienipa alichukua nyingi, ila 5 zikawa na shida hiyo.