Simu za Mitandao hizo hakikisha unatumia line iliyokuemo siku unanunua hiyo Simu.Mwenye kujua la kufanya tafadhali. Nimekwama hapo
Hapo changamoto sasa. Ilitoka Zanzibar nilipewa na mtu, alikuwa nazo nyingi. Badhi zikawa zinafanya kazi, nyingine ndo zinaonyesha hivo.Simu za Mitandao hizo hakikisha unatumia line iliyokuemo siku unanunua hiyo Simu.
Ni zile za mkopo?Mwenye kujua la kufanya tafadhali. Nimekwama hapo
Si ya gharama kiasi cha kuhangaika nayo, kinokia kidogo tu. Ilitoka Zanzibar. Nasikia wanauza kwa mfumo wa no test. We chukua kama umelidhia, utajua mbele ya safari. Sasa, alienipa alichukua nyingi, ila 5 zikawa na shida hiyo.Hiyo ya mkopo au imetoka nje ya bch ipo locked
Kama alikununilia alitakiwa kuhakikisha ni unlocked
Mi niliingia gharama mwanzo nilinunua marekani bila kutizama hicho kipengeve via ebay
Kilinilamba ..sema wenzetu wamenyooka wana return and refund policy nzuri sana
Hapana. Ikiwaka tu, ndo inaleta hiyo notificationNokia Lumia iyo sio ya mkopo. Ni kutoka nje. Hapo kusema kweli ngumu. Unaweza itumia kwa WiFi?
PoleSi ya gharama kiasi cha kuhangaika nayo, kinokia kidogo tu. Ilitoka Zanzibar. Nasikia wanauza kwa mfumo wa no test. We chukua kama umelidhia, utajua mbele ya safari. Sasa, alienipa alichukua nyingi, ila 5 zikawa na shida hiyo.