wakuu natafuta mtu wa kuni unlockia simu yangu ya huawei y300 kwa bei pouwaa,,
Hii cm inatumia mtandao mmoja tu ya tigo tu,,nilinunua 195,000/=,,
Nataka mtu anayejua ku unlock itumie mitandao yoteeeeeeee
wakuu natafuta mtu wa kuni unlockia simu yangu ya huawei y300 kwa bei pouwaa,,
Okey mimi nilinunua huawei asend y300 kwa shilingi laki mbili na nusu mitandao yote line moja ndo bei yake au nililiwa mkuu naomba unisaidie kwa jibu asante

- Ili kupata jibu tuangalie hii hesabu
- Tigo wanauza tsh 195'000 [ locked ]
- Kufanyia unlocking ni tsh 25'000
- Hivyo jumla itaku cost tsh 25'000 195'000 = 220'000
Okey mimi nilinunua huawei asend y300 kwa shilingi laki mbili na nusu mitandao yote line moja ndo bei yake au nililiwa mkuu naomba unisaidie kwa jibu asante
Umeliwa mkuu hyo sim 160 tu laini zote. Mpyaaa