At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,557
- 3,628
Habari za kazi
Samahani wakuu. Natumia unlimited ya Yas. Lakini speed yake iko chini sana baada ya kurudishwa ila kabla ilikuwa vizuri. Ningependa kujua kwa wengine wanaotumia wanapata experience gani.
Dar, kwa sasa.