UNLIMITED SPEED YA ZANTEL how to fix it

UNLIMITED SPEED YA ZANTEL how to fix it

Paje

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2010
Posts
1,185
Reaction score
486
View attachment zantllll.bmp

WAkuu HII internet ya zantel inapatikana kwa speed ya unlimited. though shared speed lakini most of the time kuna zile tips and tricks zitazokufanya u get most out of the box.
kwa mfano ninatumia modem ya 7.2Mbps. lakini kwa nini sipati angalau 6Mbps.??
nilipoelezeka modem yangu east napata 1.3Mbps , west ninapata below below 1Mbps. south ninapata 2.4 Mpbs. nilipoelekeza modem North ninapata mpaka 5.5 Mbps. Jaribuni muoni. directions ya modem inaathiri sana.
kama kuna mtu anapata speed zaidi ya 5.5Mbps , please naomba a shee maujanja yake. na upload speed/ dashboard yake.

http://img138.imageshack.us/img138/489/zantllll.png
 
zantllll.JPG


how to fix the internet speed.
 
jamani tusaidiane kwenye hili. mm nimewahi kuona ikifika 4MBS lakini sielewi kivipi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom