Unlimited Internet Using Multi-SSH

binafsi bado sijafanikiwa kabisa , nimejitahidi sana inaconect lkn sipati net kabisa. labda kuna sehemu nakosea
 
binafsi bado sijafanikiwa kabisa , nimejitahidi sana inaconect lkn sipati net kabisa. labda kuna sehemu nakosea

haiwezi connect hafu ukakose internet....
Connect na Plink kwa kuangalia ile picha nilokutumia kwenye file
ukicha connect bonyeza Plink Log button mara mbili afu nipe Log yake kwa PM
uKikwama kabisa nicheki kwa namba zangu unazo

binafsi bado sijafanikiwa kabisa , nimejitahidi sana inaconect lkn sipati net kabisa. labda kuna sehemu nakosea

kitu kingine uki connect kuna apps inazi launch na zinakua kwenye system tray
ya msingi ni proxifier au Bitvise ziangalie katika system tray utagundua shida iko wapi

Please watch my two videos On youtube kama unapata shida

Plink na Bv SSH

Tun2Socks with WiFi

Last edited by a moderator:
binafsi bado sijafanikiwa kabisa , nimejitahidi sana inaconect lkn sipati net kabisa. labda kuna sehemu nakosea

Last but not least ukiwa connected system tray utakua na icons zenye red rectangle kwenye picha

mkuu hujatoa link ya kupata hiyo tool...so tunafanyaje hapo!?
 
mkuu hujatoa link ya kupata hiyo tool...so tunafanyaje hapo!?

Hata link ukipewa hautoweza kuitumia maana inaitaji uwe na account i.e Usr na pswd kuweza ku login
Kupata username na pswd tuwasiline PM bei yake ipo public unaiona
 
mkuu hii kitu itakuwepo kwa mda mrefu?
Its all about Phreaking kaka so no answer to your question

nachoweza kusema angalia hii thread ni ya lini,ingia Youtube channel yangu angalia video zangu za Injection Tool zipo tokea mwezi wa ngapi?
 
Mkuu,
Nikitaka kuunganisha na devices zangu nyingine kwenye huduma yetu hii nitumie hotspots gani?
 
Mkuu,
Nikitaka kuunganisha na devices zangu nyingine kwenye huduma yetu hii nitumie hotspots gani?

Fanya utaratibu usikilize hii video if and only unatumia premiumssh.net tool

Last edited by a moderator:
SoftEther VPN is available for Germany server

watch this

Last edited by a moderator:
Mkuu njunwa habari ya kwako? Naomba kujuzwa zaidi juu ya hili ili ikiwezekana nijoin leo. PM pls
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…