Unlimited Internet Using Multi-SSH

Ata sahivi nadhani wapo watu wanaenjoy maisha sema wanahofia kutoa mzigo maana wanga watasambaza mpk kwenye makampuni alafu matundu yazibwe
haha umenifurahisha ulivyosema wanga, ila kweli naamini itakuwa wana enjoy chini chini, i hope nilipate zali hili na mimi one day maana nina vitu vya kushusha, naona uvivu kusubiri saa 6 kila siku.
 
Mkuu nikikutana na hili zali sahivi lazima waniloge maana video nitakazo download zitakuwa ni Hd na online ku stream itakuwa ndo kazi yangu kipindi hichi chakujifungia covid
haha umenifurahisha ulivyosema wanga, ila kweli naamini itakuwa wana enjoy chini chini, i hope nilipate zali hili na mimi one day maana nina vitu vya kushusha, naona uvivu kusubiri saa 6 kila siku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom