Acha utani wewe, namba za kitambulisho cha muhusika utazipata wapi?
Msajili laini atatakiwa kuziweka hizo namba, tarehe,mwezmwezi na mwaka uliozaliwa hivi vyote atatoa wapi na kwa bahati mbaya sana iwe katumia cha NIDA
Mbona rahisi tu, mtu ku renew namba unaenda kwa wanaosajili pale Manzese unampa 15000 na namba ambayo unataka kurenew anakuletea kibati chako cha line fasta. Kisha una with draw mpunga wako.