University selection

University selection

Senorita23

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
390
Reaction score
489
Ndugu wana jf at ukikosa first selection unasubir second au unaomba tena
 
Ukikosa first selection ni kwamba huwezi kuchaguliwa tena kwa kutumia maombi yako ya liyopita. Inakubidi uombe upya hata kama utarudia baadhi ya maombi yako. HUSUBIRI BALI UNAOMBA TENA.
 
Veep kuhusu gharama kwny kuomba second selection unalipia tena ama veeeep? Embu nisaidie hapo mkuu
 
Sina hakika lakini kwa ujumla ukiomba chuo kile kile huwa hawakulipishi lakini ukiomba chuo kipya inabidi ulipe. Itabidi ucheki na vyuo husika.
 
Ila kuna Bach yapili watatoa maana kuna wengine profile zao wameandikiwa subili udahili una endelea au hii imekaaje?
 
Back
Top Bottom