Mpaka usajiliwe mkuu/au*149*02#
Hapo zinapatikana university offers. Tumia m-pesa kujiunga kama kwa vocha inazingua.
Hapana m sijasajiliwa lakini inakubali tuMpaka usajiliwe mkuu/au
Me mbona inakataa mkuuHapana m sijasajiliwa lakini inakubali tu
Utapelinitafute ukiwa na buku 7 niigeuze iwe ya chuo kwa wiki 1 0625533419
hongera si kila MTU anayejielewaUtapeli
Hakuna cha kusajiliwa mwenyewe ipo na walinitumia text kabisaMpaka usajiliwe mkuu/au
Hapana m sijasajiliwa lakini inakubali tu
hongera si kila MTU anayejielewa
Sio kila. Mtu anaweza kujiunga ikakubali ni 10% ambao zitakubali 90% zitakataa mpaka. Lain yako iwezeshwe kuwa ya chuo ndo ikubali kuunga japo laini yoyote ya voda ukioiga hii menu ya chuo *149*42# utaweza kuona list ya vifurushi ila ukijiunga itakaa kwa kuwa hujaingwa kwenye kutumia hiyo huduma utaambiwa huduma ya Cheka unayojaribu kujiinga haiparikani.Hakuna cha kusajiliwa mwenyewe ipo na walinitumia text kabisa
mkuu kama kiasi gani?Kama unahitaji laini yako ibadilishwe kuwa ya chuo karibu sana tukuhudimie kwa bei sawa na buree 0756695846 au 0716258599.
hata mimi natafuta hii huduma ya voda univ. offerWakuu, nahtaji kupata university offer kwenye namba yangu ya Vodacom, Nani anaweza kunisaidia katika hili?