University of Iringa third selection

University of Iringa third selection

wisco maduhu

Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
33
Reaction score
16
1476861950071.png
 
hv ni kweli vyuo vyote 70 vina idadi ya wanafunzi 24000 noma sana mwaka jana 58000+
 
mkuuu wenye sifaa walikua.karibuu elfu 50. awamu ya kwanza wakatoa elfu 30... the rest wakatoa awamu ya pili na ya tatu
wale 8000 vepeee kwanza ama walidahiliwa kimya kimya mana ipo idad ya waliolipia iyo bk 50 uku tokeo DEE
 
Walioomba kudahiliwa walikuwa 55000+ wenye sifa walikuwa 47000+ waliotangazwa kwenye awamu ya kwanza ni 30000+
ok asanteni wote kwa majibu sahihi na ndugu rose lakini ni aibu kwa taifa.............. kwa iyo idadi
 
yan watatoa tena third selection kwa wale waliosoma diploma au sijakuelewa?

Selection hyo hapo juu haija include diploma holders
Kwa hyo ss mm sijui utaratibu wao walivyoupanga ila unatakiwa ujue tu hapo hakuna diploma hata mmoja
 
Selection hyo hapo juu haija include diploma holders
Kwa hyo ss mm sijui utaratibu wao walivyoupanga ila unatakiwa ujue tu hapo hakuna diploma hata mmoja
yaan nilikuwa namaanisha wale waliotoka diploma kwenda degree
 
aliyeripot university of iringaaah ko 0712646560 @nicheki pliz hata kwa text msaaaada kuna mshikaji ajaripoti hapo
 
Back
Top Bottom