ShukraniBora usome hata hiyo Baest ipo vizuri ila bast utasafa sana mtaani maana ajira zake nyingi ni Serikalini na Kwenye organizations ila sasa kutoboa ni mtiti kama huna connections kwenye hizi organization.
Economics ni nzuri both private and govt
dahTafuta course ingine mdogo wangu, kama unasoma stats bil shaka hesabu uko vizuri kasome hata Accounting, or Finance hujachelewa bado
Bado jamaaLoan board vipi wadau majina yametoka au bado?
Hakuna mapya ila kama Kuna chochote wataka kuuliza upewe ufafanuzi karibu sanaHapa Kuna mapya gani first year 2023/2024
CoNAS kunywa maji mengi sana ukilegea wanakula kichwa sijui kwasaaa ila kipindi chetu ndio College iliyokuwa inaongoza kwa kula vichwa na Sups sanaAliepo CONAS tujuane
Haikubali
Kule FPA wanagawa GPA za 5.0 mwisho 4.8CoNAS kunywa maji mengi sana ukilegea wanakula kichwa sijui kwasaaa ila kipindi chetu ndio College iliyokuwa inaongoza kwa kula vichwa na Sups sana