Sitaki kuwa ' Mnafiki ' na wala siwalaumu wale ' Instructors ' wao Mkuu kwani kwa aina ile ya Urembo wa wale Watoto wa Kike halafu na vile walivyokuwa wavivu, wapenda starehe, kula chips katika ile Cafe iliyokuwa jirani yao mkono wa Kushoto, Kupendeza na Kujirahisi Kwao vile kwa Wanaume hata Mimi ' ningewatambalizia ' nao vile vile hadi wangenikoma. Mimi bahati nzuri baada ya kuona nimefanikiwa ' Kumtambalizia ' nao Mkufunzi ( Instructor ) Madam X ( jina Kapuni ) sikuona haja tena na kuhangaika na vile Vitoto ila mara kwa mara nilikuwa nikiviona ' vikibanduliwa ' ndani ya Gari za Vitz na IST huku wengine wakienda ' kubanduliwa ' kwa kule nyuma Bombani karibu na Gereji ya yule Mzee wa Kichagga. Na kuna taarifa nilizipata kwamba kuna Watu fulani wa ' Matibabu ' na ' Upimaji ' walienda pale kupima ' Dally Kimoko Virus / HIV ' na matokeo yao Mkuu utanisamehe tu na naomba niishie hapa tafadhali.