Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,741
- 25,681
- Thread starter
-
- #21
Sijakuelewa mkuu unamaanisha niniHahaha mkuu tunaomba uishie hapo wazazi wasivunjike moyo.
Nenda hapo wakizingua angaia Mzumbe, udom, SUA kote huko wana IT/Computer science!! ukipata nafasi piga shule acha usupa star!! sio unamaliza hata kutengeza ka website hujui!!!Nataka nikasomee IT
Sawa vipi chuo cha DIT nacho wanachukua alama gani?Nenda hapo wakizingua angaia Mzumbe, udom, SUA kote huko wana IT/Computer science!! ukipata nafasi piga shule acha usupa star!! sio unamaliza hata kutengeza ka website hujui!!!
Haha ilikua mwaka gan bhana ukatulia madam wetu maana dah!...Sitaki kuwa ' Mnafiki ' na wala siwalaumu wale ' Instructors ' wao Mkuu kwani kwa aina ile ya Urembo wa wale Watoto wa Kike halafu na vile walivyokuwa wavivu, wapenda starehe, kula chips katika ile Cafe iliyokuwa jirani yao mkono wa Kushoto, Kupendeza na Kujirahisi Kwao vile kwa Wanaume hata Mimi ' ningewatambalizia ' nao vile vile hadi wangenikoma. Mimi bahati nzuri baada ya kuona nimefanikiwa ' Kumtambalizia ' nao Mkufunzi ( Instructor ) Madam X ( jina Kapuni ) sikuona haja tena na kuhangaika na vile Vitoto ila mara kwa mara nilikuwa nikiviona ' vikibanduliwa ' ndani ya Gari za Vitz na IST huku wengine wakienda ' kubanduliwa ' kwa kule nyuma Bombani karibu na Gereji ya yule Mzee wa Kichagga. Na kuna taarifa nilizipata kwamba kuna Watu fulani wa ' Matibabu ' na ' Upimaji ' walienda pale kupima ' Dally Kimoko Virus / HIV ' na matokeo yao Mkuu utanisamehe tu na naomba niishie hapa tafadhali.
EeehMkuu kwa alama hizi napole;ewa au
Kiswahili C
Civ D
Hist B
Eng D
Tuma application now kuna intake ya mwezi wa nne wanaanza. Certificate bado hawajabadili mtahala ila diploma wamebadili..Mkuu kwa alama hizi napole;ewa au
Kiswahili C
Civ D
Hist B
Eng D
Mwezi wa 9 haiwezekani auTuma application now kuna intake ya mwezi wa nne wanaanza. Certificate bado hawajabadili mtahala ila diploma wamebadili..
Hahaha mkuu tunaomba uishie hapo wazazi wasivunjike moyo.
Haha ilikua mwaka gan bhana ukatulia madam wetu maana dah!...
Inawezekana kama utapenda kuingia huo mweziMwezi wa 9 haiwezekani au
Kile cheupe chembamba nini?Kati ya 2014 hadi 2015 na sikuwalia ' Mademu ' zenu hao Wanafunzi bali nilikuwa namla ' Instructor ' wenu mmoja tu.
Mkuu Gentamycine, humu jukwaani kuna wataalam wa "probability", inawezekana wakapata jibu! Ni tahadhari tu kwako!Kati ya 2014 hadi 2015 na sikuwalia ' Mademu ' zenu hao Wanafunzi bali nilikuwa namla ' Instructor ' wenu mmoja tu.
Mkuu Gentamycine, humu jukwaani kuna wataalam wa "probability", inawezekana wakapata jibu! Ni tahadhari tu kwako!
Sitaki kuwa ' Mnafiki ' na wala siwalaumu wale ' Instructors ' wao Mkuu kwani kwa aina ile ya Urembo wa wale Watoto wa Kike halafu na vile walivyokuwa wavivu, wapenda starehe, kula chips katika ile Cafe iliyokuwa jirani yao mkono wa Kushoto, Kupendeza na Kujirahisi Kwao vile kwa Wanaume hata Mimi ' ningewatambalizia ' nao vile vile hadi wangenikoma. Mimi bahati nzuri baada ya kuona nimefanikiwa ' Kumtambalizia ' nao Mkufunzi ( Instructor ) Madam X ( jina Kapuni ) sikuona haja tena na kuhangaika na vile Vitoto ila mara kwa mara nilikuwa nikiviona ' vikibanduliwa ' ndani ya Gari za Vitz na IST huku wengine wakienda ' kubanduliwa ' kwa kule nyuma Bombani karibu na Gereji ya yule Mzee wa Kichagga. Na kuna taarifa nilizipata kwamba kuna Watu fulani wa ' Matibabu ' na ' Upimaji ' walienda pale kupima ' Dally Kimoko Virus / HIV ' na matokeo yao Mkuu utanisamehe tu na naomba niishie hapa tafadhali.
EBU FAFANUA KIDOGO MKUU KWENYE MATOKEO YA HIV
Kumbe umeishia form 4? Mbona masomo uliyofeli haujayataja? Umeweka uliyofaulu tu.Mkuu kwa alama hizi napole;ewa au
Kiswahili C
Civ D
Hist B
Eng D
PROMO!!!Mimi ninachojua tu ni kwamba Wanafunzi wengi wa Kike wa hicho Chuo ( UCC ) hasa wale wa ' Campus ' ya Mbezi Beach Makonde mkabala kidogo na Shamo Tower ni warahisi Kukuvulia Chupi hata ukiwapashia tu ' Kiporo ' cha Juzi na maji ya Bombani ya Dawasco. Naomba niishie hapa tafadhali.
Wapi??Kile cheupe chembamba nini?