University of Bukoba ya nani??

University of Bukoba ya nani??

Josh Michael

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2009
Posts
2,523
Reaction score
91
Katika pitapita yanhu leo nimeona baadhi ya taarifa ya chuo kikuu cha Bukoba ambacho kipo Mkoani Bukoba, Ila la Kushangaza ukienda kwenye tume ya vyuo vikuu Tanzania hakuna Chuo Kama hicho wala usajiri wake?? Labda kama kuna mdau anajua kwa undani aseme au aje na data hapa JF, na Tena kwa kushangaza hawa jamaa wanafundisha mpaka Computer science, BA in Education and kozi nyingine, Kuna Ujio wa Vyuo vingi hapa Tanzania lakini vyote vipi chini ya TCU lakini Chuo Cha Bukoba sijakiona kabisa.
Naombeni Majibu
 
First of all, for the record, Bukoba ni mji, si mkoa.Mkoa ni Kagera.

A few red flags.

The "University" has a tripod web page. http://uobtz.tripod.com/
No respectable university should publish itself officially on tripod/ geocities on any suchlike pages.

There are any more.But go thru the page and find out.
 
Sasa hawa jamaa wanatoa Elimu kwa Ruhusa ya nani?? Kama Dataz zao haziko kwenye Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, tena watu kama Professor Banyikwa naye yupo huko kwenye Bodi yake
 
Chuo Kikuu cha Bukoba - hakijwahi kuanza kutoa mafunzo wakati wowote ule! bado kipo kwenye makabrasha!
 
Hivi hapa Tz kuna mkoa unaoitwa Bukoba ?
Kuna Mkoa unaitwa Kagera, na Mji wa Bukoba...!! hivyo watu wengi sana wamezoea kusema Bukoba kuliko Kagera, na pia itakuwa jambo nzuri sana kama waeleze ni wapi wamepata kibali cha kufundisha maana kuna friends zangu ambao wanasoma huko kwa muda sasa
 
mbona Muslimu University haiko TCU so na chenyewe hakijulikani?
 
mbona Muslimu University haiko TCU so na chenyewe hakijulikani?

kinajulikana kwa kuwa kimesajiliwa TCU ila hakidahili wanafunzi kupitia CAS jambo ambalo ni hiari kwa vyuo vya private,
usichanganye hivyo vitu viwili, kusajiliwa TCU na kudahili/kutodahili wanafunzi kupitiaCAS.
 
  • Thanks
Reactions: RSR
Jaman bukoba kuna chuo cha saut ambacho ni tawi la Saut,pia kuna chuo cha Josia kibira.Vyuo hivi vyote viko bukoba
 
Back
Top Bottom