University issues

Trevor john

New Member
Dec 4, 2015
4
1
GoodEvening wana JF..
Nilikuwa na swali hv inawezekana MTU aliemaliza form six na Division 3 point 16 akapata chuo cha private au public kuingia degree courses....
 
GoodEvening wana JF..
Nilikuwa na swali hv inawezekana MTU aliemaliza form six na Division 3 point 16 akapata chuo cha private au public kuingia degree courses....
Kwa maelekezo ya TCU huwezi kuchukua degree katika chuo kikuu chochote labda uanzie na Diploma kwanza,kwani kwa point ulizonazo inamaana una E, E, F katika combination yako na ili uendelee kuchukua degree chuo kikuu hapa nchini unatakiwa uwe na kiwango cha chini cha D mbili katika masomo ya comb yako.
 
GoodEvening wana JF..
Nilikuwa na swali hv inawezekana MTU aliemaliza form six na Division 3 point 16 akapata chuo cha private au public kuingia degree courses....
Inawezekana mkuu.....
Ila uwe na cut off point ya 4.0 au above
 
Anaweza kabisa tena vyuo vyote ila ataingia kwa ajili ya kutembelea na kupiga picha ila sio kusoma
 
Back
Top Bottom