Si kweli mkuu,topic zangu sio za kisomi?,mimi mwenyewe sio Msomi,nitoe mada za kisomi wapi?lol ndio maana nikakwambia picha uliyonayo kuhusu mie sio ya kweli...