[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila mkuuu umetudanganya, asiye soma anajulia wapi ka kingereza!! Alaf course work system umeijulia wapi hujasoma rafiki??Hello JF,
Mimi sio Msomi ila nawaheshimu hasa watu waliosoma ..its not easy!...
Leo nimeona tuzungumze elimu yetu kutoka only theoretical based mpaka kujumuisha practical....
Mimi huwa nawaza moja ya njia ya kufanya hivyo ni universities kufanya kazi na local communities...
Universities ziwasaidie jamii zinazowazunguka,kutatua maswala yao....
Mimi nilinotice mahali watu wanapewa Zaidi course work na mitihani ni michache,,
nadhani tunge adopt huu mfumo ingekua vizuri Zaidi,
Tunashirikianaje?
Jamii inapresent swala ambalo ni limekua gumu kulitatua..labda uhaba wa walimu wa science(Mfano tu)
Unawapa hili tatizo wanafunzi ambao may be wamesoma theories za movement za watu ..then wana apply theories in real setting na kuja na majibu ya hili tatizoβ¦
Mfano mimi kabla sijasepa,nilikua presented na swala la jinsi ya kutumia invehicle systems kama mobile phone inavyosababisha ajali..(Mfano tu)
Moja utakua umeleta solution kwa jamii inayohusika,
Second utakua unamfundisha na kumuandaa kijana ku explore his/her opportunities...
tena hizi course work/project/independent learning iwe mwaka wa mwishoβ¦wanafunzi wawe encourage to stimulate their minds kuanzia mwaka wa kwanza...
Karibuni tujadili elimu yetu,sio kila siku kulaumu, njoeni LOL
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila mkuuu umetudanganya, asiye soma anajulia wapi ka kingereza!! Alaf course work system umeijulia wapi hujasoma rafiki??
Any way niende moja kwa moja kwenye mada, kwakweli hili swala la kubadilisha mtaala wa elimu hapa nchini Walio wengi tumekwisha ona uhitaji wake, Ili kua na Tanzania yenye uchumi uliotukuka tulitakiwa kufanya evaluation ndani ya educational system from theoretical bases to practical bases, nikiwa namanisha kama ni sector ya kiwanda basi sido ipeleke wanafunzi wengi sana katika practical learning ili kusaidia uwepo wa home technological innovativeness yaan hapa swala la ajira litakua limepungua, lakin pia hili swala linaeza kuwa achieved kupitia the aplication of Guild system, yaan wenye ujuzi wanapelekwa sehem flan alaf wanaambiwa watengeneze kitu chochote/ wabuni kitu chochote na hapa innovation itakua imewezwa,
Kilimo sasa katika huu upande wanafunzi wasipewe theory wapewe practicals kama SUA wanavyofanya, i.e ktk ufugaji, uunzi wa vifaa mbalimbali vya kilimo.
Tofauti na hapo tutasubiri sana, yaan elimu yetu ya sasa itazidiwa na Indigenous education system ilokuepo kwa mababu zetu iwapo haitobadilishwa kwa baadh ya sehem zake.
Mambo ni meeeeengi sana,
Huu ni ukweli usio pingika nduguyangu tunatakiwa kuendana na mabadiliko ya kidunia, hatuez kua na uchumi wakati, uchumi wa viwanda na wakati mda huo huo tuna elimu ya kijinga namna hii, mtu unaandaliwa theoretically alaf baada ya Ku graduate unaambiwa sasa kajiajili, unaambiwa tena utalipa pesa ya HESLB uliyo kopeshwa,,, yaan nguvu nyingi sana na laslimali pesa nyingi sana zinawekeza ku fund aina hii ya elim.Mambo ni meeeeeeeeengi sana,LOL
mie nimeimba sana huku tatizo la ajira litaisha na relevant education,
Information technology,Biashara na Kilimo,hivi vitatu kama wanafunzi watachagizwa kufanya independent learning wakaja na solutions ,...tatizo la ajira bye bye.
How?
Aliyesoma mpaka chuoni,akitoka hapo anajua afanye nini kama ni kujiajiri,am sure hatakua peke yake..atamuajiri na mwingine na mwingine...
Lazima mtu aliyesoma mpaka chuo aheshimike atii...
sio kama sasa hivi wanadharaulika sana...
Anatoka chuo hajui afanye nini na theories zake...anaishia kuwa frustrated mtaani...
Hapana, something must be done
Sasa mkuu hiko chamachenu kimeshatatua tatizo lipi kwanza ambalo baada ya kufanya reseach lilifanyiwa analysis, mkali evaluate na mwishoe Implementation yake ilikuaje!!?NADHANI HIZO SABABU NDIZO ZILIZO WASUKUMA WALIMU WOTE WA MASOMO YA SAYANSI KUSAJILI CHAMA ,ILI BASI KWA KAULI ZA CHAMA KUPITIA WADAU KAMA NYIE,MAWAZO HAYA YAWEZE KUFIKISHWA PAHALA SAHIHI BADALA YA KUISHIA JF.
KIMSINGI NIWAPONGEZE WOTE KWA FIKRA ZENU PEVU,NA MADAME REBECA KUTULETEA MJADALA HUU MUHIMU.
KIKUBWA TUSHIRIKIANE NA SCIENCE TEACHERS ASSOCIATION OF TANZANIA (STAT) ILI JAMII INUFAIKE KUPITIA UTATUZI WA CHANGAMOTO ZAO.
TUWASILIANE,
0783059220
STAT-CHAIRMAN
THANKS.
All the way, everything is possible, now how can the youth leads to educational changes wakati wazee walio wengi ndo wameshikilia mpini?? "Conservatism"Vijana wa nchi hii ndio wanapaswa kusukuma mabadiliko ya maisha yao ya baadaye. Ndio wanapaswa kudai curriculum na practical training zitakasowasaidia kujiajiri baada ya kumaliza chuo. Hao viongozi waliopo wao most of them wanajali tu maslahi yao- they couldnt care less vijana wanaomaliza chuo wanaishia kuwaje. LAZIMA mfumo wa elimu UBADILISHWE KABISA. But the agitators for that change must be the youth, those in higher learning institutions. Samahani nimeweka lugha ngeni ndani ya haya maelezo maana yanawalenga zaidi wasomi wetu. Ujerumani wanaoenda vyuo vikuu ni watu ambao tayari wameshapita shule za ufundi. Kwa hiyo asipofaulu kuingia chuoni tayari ana ujuzi wa kazi fulani. Uingereza kwenye fani za udaktari, uhasibu na sheria, ili mtu ajinasibishe kwa ni mtaalamu katika fani yake ni lazima awe ANASOMA WAKATI ANAFANYA KAZI HIYO KWA VITENDO (internship) Ni juu yenu vijana kujipanga na kutoa mapendekezo ya kipi mnachokitaka katika elimu mnayopata
Mwalim yupi huyo tena??Mwalimu acha uongo...
Vijana wa nchi hii ndio wanapaswa kusukuma mabadiliko ya maisha yao ya baadaye. Ndio wanapaswa kudai curriculum na practical training zitakasowasaidia kujiajiri baada ya kumaliza chuo. Hao viongozi waliopo wao most of them wanajali tu maslahi yao- they couldnt care less vijana wanaomaliza chuo wanaishia kuwaje. LAZIMA mfumo wa elimu UBADILISHWE KABISA. But the agitators for that change must be the youth, those in higher learning institutions. Samahani nimeweka lugha ngeni ndani ya haya maelezo maana yanawalenga zaidi wasomi wetu. Ujerumani wanaoenda vyuo vikuu ni watu ambao tayari wameshapita shule za ufundi. Kwa hiyo asipofaulu kuingia chuoni tayari ana ujuzi wa kazi fulani. Uingereza kwenye fani za udaktari, uhasibu na sheria, ili mtu ajinasibishe kwa ni mtaalamu katika fani yake ni lazima awe ANASOMA WAKATI ANAFANYA KAZI HIYO KWA VITENDO (internship) Ni juu yenu vijana kujipanga na kutoa mapendekezo ya kipi mnachokitaka katika elimu mnayopata
Nadharia za kilevi. Tatizo la ajira haliishi hadi kiama. Labda lipungue kiasi na wa kulipunguza mtu binafsi ukisubir serikali waweza kupata stroke.Mambo ni meeeeeeeeengi sana,LOL
mie nimeimba sana huku tatizo la ajira litaisha na relevant education,
Information technology,Biashara na Kilimo,hivi vitatu kama wanafunzi watachagizwa kufanya independent learning wakaja na solutions ,...tatizo la ajira bye bye.
How?
Aliyesoma mpaka chuoni,akitoka hapo anajua afanye nini kama ni kujiajiri,am sure hatakua peke yake..atamuajiri na mwingine na mwingine...
Lazima mtu aliyesoma mpaka chuo aheshimike atii...
sio kama sasa hivi wanadharaulika sana...
Anatoka chuo hajui afanye nini na theories zake...anaishia kuwa frustrated mtaani...
Hapana, something must be done
d
Nadharia za kilevi. Tatizo last ajira haliishi hadi kiama. Lands lipungue kiasi na was kulipunguza mtu binafsi ukisubir serikali waweza kupata stroke
Kwa sera zipi ndugu Rebecca83....SUNNNA JKKKKKT Wanakula tenda zote....TTCL, Air Tanzania, TANROADS wanabana mpaka pumzi ya mwishoHakuna sehemu tatizo la ajira hakuna...ila kukiwa na massive unemployment tatizo linatafutwa stratergies zinawekwa kupunguza tatizo.. UTAJIJU!!!
Ila Rebecca unaonekana we mkali mkali sana, japo mada zako za kisomi somi tu.Hakuna sehemu tatizo la ajira hakuna...ila kukiwa na massive unemployment tatizo linatafutwa stratergies zinawekwa kupunguza tatizo.. UTAJIJU!!!