Na ndicho kinachotakiwa atoke nafasi yake waweke mtu ambaye hatakiuka haki za binaadamHiv mfano Rais Assad akakimbilia china kuomba ifadh itakuaje?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Sema atakayefuata matakwa yao, this is operation inua uchumi wa marekani.Na ndicho kinachotakiwa atoke nafasi yake waweke mtu ambaye hatakiuka haki za binaadam
naona kama unafurahi sana,sijui interest yako iko wapi,au unapata faida gani watu kuuawa?.kazi imeanza sasa,mnafiki Russia ashaondoa raia wake juzi,anajua nini kitafata,Marekani akiamua kitu nchi kama Russia na China zitapiga domo tu lakin kamwe aziwezi ingilia
bila boot on the ground hawataweza kumwondoa Assad.na wakirogwa kuingiza askari wao Syria ndo wamenasa watatoka 2025 badala ya siku tatu.Kwa ujumla huu mpango utawaumiza zaidi raia waziokuwa na hatia wala faida na mzozo huu. Na vita hii itagharimu roho za raia wengi kuliko wale waliokufa kwa gas ya sumu.
Marekani kama inataka kumuondoa Asaad, ingefanya mission ya kumuondoa Asaad kama Asaad bila kugharimu roho za raia wasiyo na hatia.
vita vitakua vya siku tatu na lengo ni kusafe face ili wamarekani wasionekane wamedharauliwa baada ya kudraw redline.lengo la mashambulizi sio kumtoa assad.Tuandae diesel na petrol ya kututosha kwa mwezi mzima,yasije tokea kama yale ya Iraq,vituo vingi vya mafuta vitaanza kuficha mafuta kwa nia ya kuuza kwa faida kubwa zaidi pale itakapotokea shortage.
Siku vita viingia kwenye familia yenu nadhani utakuwa na furaha zaidi.dah!..afadhali vita maana nilimis sana zile drones za marekani...na yale ma B52 du patapendezaje hapo Syria..God bles u AMERICA forever.
Siku vita viingia kwenye familia yenu nadhani utakuwa na furaha zaidi.
drone mbona kila siku zipo...afterall drone haitumiki kwenye activebombing ,labda useme umemiss vitu kama B52,B1,B2,F22,F35jointstrike etc.dah!..afadhali vita maana nilimis sana zile drones za marekani...na yale ma B52 du patapendezaje hapo Syria..
tatizo hata haijulikani wamerekani watazicontrol vipi,senator maccain amesema obama amebugi step kuchelewa kuipiga syria na hivyo kumpa asad mda wa kuficha na kutawanya silaha zake muhimu ili kuziteketeza zote iwe vigumu.Ritz, for a war that's been goin on for too long with the UN paralyzed over decision to intervene I support intervention efforts to cripple Assad. Chemical weapons are on the loose, plus the refugees crisis is of biblical proportions and nobody seems to care. someone should act.