Wee kilaza,china urafiki wake ba tanzania upo wapi zaidi ya kuja kupiga dili na kujaza mimba mama ntilie tuu
utakua ni mtoto wa miaka ya 95 ww.....
tuulize sisi tuliosoma na kina mwenyekiti mao tukuhadithie,,,,hawa mbulula wa kizungu hatutawasikiliza hata siku moya....
china ishasema atakaeigusa tanzania atakiona cha mtema kuni....
ila kama maalimu kashinda apewe nchi,,,ama hata wakirudia kama ni wa kushinda atashinda tu,,,,yeye asipaniki wasije kuanza kumloweka kizuizini na habari ya kugombea tena ikaishia hapo.....

China Gesi kwa kichwa cha mtuSisi rafiki yetu wa kweli ni china na russia..hawa nguruwe wengine hawawezi kutuambia kitu.hzo statement wakawatolee akina kagame huko.
Natamani kusikia neno kutoka kwa kagameHivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...
wewe ndio foolish unamtukanaje mtu aliekufundisha kuvaa nguo!hivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...