United Kingdom statement on Zanzibar elections

Zec walisema uchaguzi haukuwa huru na wa haki, baadae wakisema ulikuwa huru na wa haki wataonekana mahayawani kabisa. Za mwizi ni arobaini.
 
Hivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...
Hawa ndio wanaotoa pesa za kufanya hizo chaguzi.
 
Sasa kimenuka! Hawa ndio mabwana zetu, washasema hawajaona kasoro yoyote na wanataka matokeo yatangazwe kama zilivyopigwa kura. January wajibu hawa
 
...uchafu wa ccm sasa uko wazi mbele ya dunia..!!

unamfahamu Nkurunzinza mpendwa? hadi leo jamaa yuko madarakani hawa sijui UN, UK wamefanya nini?
 
Utashangaa wiki JK yuko USA, UK, China, nk kuzurura tu, ngoja akome- hawa majamaa hayakawii kutaifisha A/C zake na Majumba yake.
 
Mbona hawajasema lolote kuhusu Tanzania bara.Yaani wameona kwamba uchaguzi huku ulikuwa huru na haki!?Ovyo sana.You can never trust these people.
 
wapi msemaji wa ikulu, tunataka kujua uamuzi wa serikali juu ya mapendekezo yaliyotolewa na waingereza
 
Hivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...

Kweli wajinga huwa hawjijui, acha kutimia kikojoleo wakat wa kufikiri mkuu.
 
Hivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...

Hao ndio wanakufanya wewe, upate heshima kwa mkeo, hadi UNAPEWA KIBOGA..!!!

SERIKALI YAKO YA OMBAOMBA..!! Waukize EU ni nani...!!! Unajaza CHOO sbb ya hao kama hujui...!!!

CCM wezi kama wewe...!!
 
Hivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...

Hao ndio wanakufanya wewe, upate heshima kwa mkeo, hadi UNAPEWA KIBOGA..!!!

SERIKALI YAKO YA OMBAOMBA..!! Waulize EU ni nani...!!! Unajaza CHOO sbb ya hao kama hujui...!!!

CCM wezi kama wewe...!!
 
Mbona hawajasema lolote kuhusu Tanzania bara.Yaani wameona kwamba uchaguzi huku ulikuwa huru na haki!?Ovyo sana.You can never trust these people.

Hatujawapa matokeo halali ya kura za vituoni.
 
Hivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...

Eti? Kama nani? Muulize Kikwete atakwambia maana ametumia siku nyingi wakati wa urais wake akiwa kwao kuliko alivyokuwa hapa nyumbani.
 
Hivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...

baba ni baba siku zote, baba hawi mtoto, hata kama unamlisha baba huwezi kusema ni miongoni mwa unaowalisha. kumbafu wewe
 
Sisi rafiki yetu wa kweli ni china na russia..hawa nguruwe wengine hawawezi kutuambia kitu.hzo statement wakawatolee akina kagame huko.

Hujui unaloongea wewe!!hao unaowaita marafiki wana ramba viatu vya Western Countries.
Kamuulize Putin hali ya uchumi wa nchi yake.
 
Hivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...

Kawaambie wachina wakupatie msaada basi tuone. Unajitambua kweli wewe au ni shake well before us
 
Vipi kuhusu Iraq,Libya......
Burundi hawajaamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…